Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapa
JAoa Pedro alivyomwambia kocha wa PSG Hana tofauti na Arteta akaona ni tusi ikabidi arushe ngumi ndio sisi Chelsea tutamani kuwa Kama nyie kweli ???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongeri wanangu Gunners kwa kukamilisha sajili ya winga teleza Noni Yamal Madueke.
Uzuri wa Arsenyashi kwenye kusajili takataka mpo fasta kwelikweli, ila linapokuja suala la kusajili mchezaji wa maana mtajizungusha kama vile mmekewa gumzi matter konny. View attachment 3408121
Yule Hoijlund wenu sio takataka kweli?
 
1752447841466.png
 
Hapa ndipo shida ilipo kwa mashabiki wa Chelsea, wao bila kujifananisha na Arsenal hujiona underdog, sisi huwaza kujifananisha na The best km City / Madrid wakati wao huwaza kuhusu Mighty Arsenal all the time, we live rent free in their heads. Shabiki wa Chelsea hata akinywa maji huwaza je shabiki wa Arsenal kanywa maji? furaha yao ipo hapa
Inawezekana ushabiki wa mpira umeanza juzijuzi hujui wala huelewi haya yameanzia wapi ndio maana unasema haya. Kwenye hii michuano ya FIFA CWC ilikua ni Chelsea dhidi ya vilabu vyote vya EPL na wapinzani wakubwa ni Liverpool, Man Utd, Arsenal, Man City.

Sasa kwanini Arsenal? Kwanza kabisa ni mpinzani wa jadi katika jiji la London, kila mmoja anataka kuonesha yeye ndio ana timu bora zaidi London. Hivyo hayo yanaenda sambamba na kubeba makombe, hivyo kinachoendelea hapa ni muendelezo wa hayo yote. Pili, anasemwa zaidi Arsenal kwasababu misimu ya hivi karibuni hajabeba kombe lolote wakati Chelsea ndani ya msimu huu kabeba makombe mawili tayari.

Hasemwi Man Utd kwa sababu yule tayari keshajifia kibudu, hasemwi Liverpool kwa sababu tayari ni bingwa EPL, Hasemwi Man City kwa sababu huna wa kubishana naye mtandaoni, hasemwi Spurs kwa sababu ni bingwa wa EUROPA. Kwahiyo usishangae haya yanayoendelea siku ukifika level ya Chelsea nawewe utafanya hivi. Walikuwepo kina Dully Jr sijui yuko wapi huyu dogo, wengine nishawasahau na wengine bado nawaona humu, tulikua tunabishana na kutambiana sana. Wewe yawezekana ni mgeni karibu.
 
Wanawake wamemchukua Olivia Smith wa Liverpool kwa world record fee ya 1 million pounds.
Hapo Kelly naye tayari, na kipa mpya...
Wapewe tu makombe yao mapema.

Bado wanaume sasa kufanya maajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom