[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti wali nazi wakati kuna watu wanajuta mpaka dakika hii kua mashabiki wa Arsenyashi.
Muacheni
Castr apumzike kwanza, mtu mpaka akifikia hatua ya kuomba watu wasimquote ujue ameshavulia sana mpaka uvumilivu umefikia mwisho, ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili kuendelea kumng'ang'aniza mtu kwa jambo linalomnyima furaha.
Walikuwepo kina
Labyrinth 84 wakahama timu kwa maumivu makali, walikuwepo kina Masingeli wakiwaongopea watu humu kwa false hope kama wewe halafu mwisho wa siku wamelikimbia jukwaa kwa uchungu mkubwa.
View attachment 3405763