Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Barcola na Doue walikua wanauzwa 50M.

Leo unatoa 50M kwaajili ya bench warmer
Mbona kijana unanongwa uzuri wa Madueke ni Kama sterling huwa wanaamua game zakucheza vizuri na unaweza ukasema huyu ndio Messi sasa kwenye hizo game chache atawasaidia
 
Aseno yamsajili madueke na dudukwee
1000043588.jpg
 
Chelsea huwa hauzi magarasa yake mbali na London, anajua sehemu ya kuwapeleka pindi wakishindwa kufit kwenye mfumo wake.
No one saw this coming! Unakataa kumuongezea Octopus £50,000 unamleta Madueke akupe EPL!

Kama chelsea sio wachawi basi Arsenal huwa wanapenda kitenga sana.
 
Chelsea huwa hauzi magarasa yake mbali na London, anajua sehemu ya kuwapeleka pindi wakishindwa kufit kwenye mfumo wake.
No one saw this coming! Unakataa kumuongezea Octopus £50,000 unamleta Madueke akupe EPL!

Kama chelsea sio wachawi basi Arsenal huwa wanapenda kitenga sana
Hamjapanga hata mikakati ya namna ya kutoshuka daraja ila mmekalia tu ya Arsenal. Nyie hayaa 😂
 
Arrizabalaga
Zubimendi
Nørgaard

Gyökeres
Mosquera

Rodrygo
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Eze
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Madueke

Andrea Berta is cooking.
Arsenal Football Club will be unstoppable next season
 
Arrizabalaga
Zubimendi
Nørgaard

Gyökeres
Mosquera

Rodrygo
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Eze
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Madueke

Andrea Berta is cooking.
Arsenal Football Club will be unstoppable next season
Mmeanza tena kutustua mioyo yetu bila sababu za msingi mkuu.
 
As of now inasemwa kwamba Arsenal inaendelea na mazungumzo na kambi ya Noni juu ya makubaliano binafsi na yanaenda vizuri.

Lakini Arsenal pia ipo kwenye mazungumzo na Nwaneri na moja ya sehemu waliyopo kwa sasa ni makubaliano juu ya game time.

Achana na Eze.

Achana na Rodrygo.

Kuna Nelson.

Tunaguarantee vipi game time kwa Nwaneri ili akue ikiwa unahangaika na Noni?

Hii itakua ni nonsensical signing ambayo nimewahi kuishuhudia. Chelsea kapigwa fine leo, hii signing ni sehemu ya kujisafisha.

Binafsi yangu, ikatokea Arsenal tunamsajili Noni sitafuatilia mechi za Arsenal mpaka akiondoka.
Tunaongeza takataka 🤣😂
 
Sesko Sesko is the thing, Jaribu ku imagine front three Saka, Sesko, Eze/ Rodrygo! moto mkali sana.

Sesko ceiling yake ni kubwa afu uzuri ukiwa na sesko, saliba, saka, Rodygo, Rice tayari unaunda timu ya masuper star wanaojua mpira unafuata nyayo za Real.

Huyu dogo Sesko sikuwahi kumfutilia ila niliona some comps nikasema this is a real ST, anakimbia mno runner in behind, aerial prowess maanake tunakuwa na threat ya huyu, Merino, Maghales na Nogaard kwenye kona, sesko pia ana ball striking sio ya nchi hii, link up & hold up play ala kai harvertz lakini pia yupo technical ni ST ambaye yupo full package.
 
K
Arsenal iliwahi kuhusishwa na kumnunua Higuain au Suarez.

Dirisha likafungwa akaja Yaya Sanogo.

Kwahiyo mnaofurahi Noni kusajiliwa mkidhani kwamba yeye anakuja na Eze na Gyokeres au Sesko anakuja itakua hamuijui Arsenal.

Atakuja Noni halafu Eze, Gyokeres au Sesko utaambiwa pesa haitoshi.

Trossard ataongezewa mkataba na usajili ambao tuliambiwa utakua wa kujiandaa na kuchukua makombe unakua umeishia hapo.

Manina
Katika jambo nilicheka na kuona hatuko serious ni kwenye usajili wa LUIS SUAREZ. 🤣😂
 
Back
Top Bottom