Kifo ni fumbo kubwa sana aseeeEbwana Diogo Jota amefariki kwenye ajali ya gari yeye na kaka yake.
Apumzike kwa amaniEbwana Diogo Jota amefariki kwenye ajali ya gari yeye na kaka yake.
RIP.Ebwana Diogo Jota amefariki kwenye ajali ya gari yeye na kaka yake.
Kabisa aisee.Kifo ni fumbo kubwa sana aseee
Msiba upo Tabata Matumbi kwa mjomba wake!😥😥Ebwana Diogo Jota amefariki kwenye ajali ya gari yeye na kaka yake.
Target ya kuwin title gani nyie viazi? Acha kuota. Kingereza kiiingiKwa Standard tuliyoset regardless aanze Madueke, Kai harvertz or Kepa, we wont lose big games, we wont lose second spot unless there's huge injury blow au red cards. Our target remains the same, to win the title kitu ambacho usajili wa Sesko & Rodrygo/ Eze and an improved Squad depth vina guarantee. This is my belief. This is what makes The Mighty Arsenal lives rent free in their head. This is why they cant stop talking about us. the fear factor.
Kuna wanawake sio wa kuoa mamaee.Kabisa aisee.
Wiki mbili zilizopita ameoa.
Leo umauti huu hapa
Dah 😅 ila we mwanetuKuna wanawake sio wa kuoa mamaee.
Guirrasy kwa kai, bora guirrasy kwa kweli, huyu kai anakimbia kama ana kinyesi 💩 matakoni..😂🤣Mimi uwa simkubali hana tofauti kubwa na Havertz
Eze tayari anaijuwa PL. Rodrigo mpaka azoee kazi ipo!Nimemuona Eze
Nimemuona Rodrygo
Na ninasema wazi ni bora umpate Eze siyo Rodrygo
Yeah ndiyo ninachoona ni advantage kwa EzeEze tayari anaijuwa PL. Rodrigo mpaka azoee kazi ipo!
Mchezaji mzuri sana aliyekatishwa ndoto zake na injuries za mara kwa mara.Arsenal na Tomiyasu, ndoa yao imevunjwa by mutual agreement . His contract was due to expire at the end of next season
Watakuwa wamefanya la maana sana, dogo janja ni mchezaji mzuri, kushoto ni bora kuliko martineli, kulia anaweza kukuofa kitu kizuri, katikati anaweza kuzima piaRodrigo kaomba kuondoka, arsenal Wana jiandaa kutuma offer inayo zidi paun 90m
Cech umemsahau.Tumenunua mchezaji kutoka Chelsea au kwa mkopo almost kila msimu, tangu asainiwe Luiz ni msimu mmoja tu ndiyo tulipita wima.
Luiz, Willian, Jorginho, Kai, Sterling, Kepa
Katika hawa ni yupi aliwahi kuonyesha quality? Katika hawa kuna mmoja hapo alifanya blunder ya ajabu tukakosa kombe.
Ujinga
Nilitamani nimuone Eze badala ya Rodrygo. Not sure if arsenal can afford both plus a strikerRodrigo kaomba kuondoka, arsenal Wana jiandaa kutuma offer inayo zidi paun 90m
Nafikir tutamchukua Eze kwanza, halafu striker. Mshiko ukibaki au tukiuza wachezaji kadhaa, tunamchuckua Rodrygo.Nilitamani nimuone Eze badala ya Rodrygo. Not sure if arsenal can afford both plus a striker