Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta kama kuna msimu ambao ni wamoto kwa Arsenal basi ni huu... Bila kikombe chochote maisha yake ni Magumu sana Emirates mwaka huu. Mashabiki walishaanza kuwa toxic
 
Nyie arsenyeto tutawapa Madueke Baada ya kushinda ubingwa wa dunia ili muendelee kushangaa medali za mabingwa kama mlivyoshangaa medali za UCL za Kai 😂
 
Najitahidi tu kujipa matumaini bro. Chelkenge wamechukua Gittens na Delap, Manymbu wanamchukua Mbeumo, C11ty imeweza kuwapata kina Cherki. Hao wote naona tulikuwa na uwezo wa kuwachukua mbele ya hizo timu ila ni kama hata hatukuwaangalia hao wachezaji. Hivyo sielewi watu wetu wanafanyaje chaguzi zao.
Chelsea yupo nusu fainali kombe la dunia, afu arsenyeto yupo anahangaila na usajili wa mchezaji ambaye ana uhakika wa kushinda kombe la dunia ili angalau waone medali zinavyoonekana 😂

Hapo nani ni kenge? 😂
 
Ila mashabiki wa arsenyeto mkiwa kwenye uzi wa mwanaume wa London ambaye yupo nusu fainali huko USA hua mnatamba sana ila kwenye huu uzi wenu ni kulia na kusaga meno 😂
 
Cv ya maduake hiyo inatosha kabisa aseno kutosa 60m
 

Attachments

  • IMG_20250706_124912.jpg
    IMG_20250706_124912.jpg
    279.4 KB · Views: 23
Leteni hela nyie, fungueni pochi ..sisi ndio wakubwa wenu mkatae mkubali ..sisi ni wakubwa tuu na wakubwa siku zone tutawasaidia wadogo zetu, tunajua wachezaji wetu wengi kwa sasa mnao nyie na kikosi cha kwanza ni lazima wapate namba, chukua Madueke huyoo leta pesa , acheni kulipa kwa mafungu takataka ninyi

Rest Easy Man Jota & Silva 💔💔
 
Media za Sweden zinasema Gyokeres ameshasainiwa Arsenal
 
Noni Madueke to Arsenal🤔!! Hii club hakuna ambition yoyote inafocus.. Unawezaje kutaka kutumia almost 50m kwa mchezaji ambaye atakuja kuwa ni bench warmer upande wa kulia ambao yupo Saka.. Au ndio kutaka kutuaminisha Madueke akacheze upande wa kulia?? Hivi kwanini Arsenal ni waoga kuapproach Elite players wanakimbilia makapi na reject za Chelsea ambazo historically hazijawahi kutusaidia chochote zaidi ya kugharimu timu. Ubahili ukizidi sana hutengeneza ujinga ndani yake
Watani zangu hapa ndipo nawapenda mnatusaidiaga kwenye kupunguza mizigo kwenye team kuanzia kina Kai etc endeleani na kuwa na moyo huo huo
 
Tulieni nyie aseno ya makombe isukwe huku madueke huku saka lazima watu waombe poo madueke tunawauzia kwa 50 sababu nyie wanetu ila tungewapiga hata 70 ni bonge la mchezaji lile baada ya madueke njooni tuwape na badiashile bonge la beki
😂😂😂
 
Barcola na Doue walikua wanauzwa 50M.

Leo unatoa 50M kwaajili ya bench warmer
Mbona kijana unanongwa uzuri wa Madueke ni Kama sterling huwa wanaamua game zakucheza vizuri na unaweza ukasema huyu ndio Messi sasa kwenye hizo game chache atawasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom