Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
ata mimi ningepita na eze aseeeNilitamani nimuone Eze badala ya Rodrygo. Not sure if arsenal can afford both plus a striker
ata mimi ningepita na eze aseeeNilitamani nimuone Eze badala ya Rodrygo. Not sure if arsenal can afford both plus a striker
Kwahyo baada ya kuonekana atasepa ndio kesi ya ubakaji inaanza.Wanaume tupo USA ili kuiletea London heshima, afu nyie wapuuzi mnabaka raia 🗑️
View attachment 3394027
Nafikiri aende mahali kwa mkopo au auzwe na tuweke buy-back clause. Bado kijana sana so akipata uzoefu zaidi na kurudi anaweza kuwa na impact kubwa zaidi. Kama Saliba.Nwaneri na Arsenal wanajadiliana juu ya jinsi gani atapata game time ya kutosha.
Anaweza kuondoka asipohakikishiwa game time.
With enough faith ya game time huyu hashindwi kufikia decent level ambayo haina haja ya PR kumpa promoNafikiri aende mahali kwa mkopo au auzwe na tuweke buy-back clause. Bado kijana sana so akipata uzoefu zaidi na kurudi anaweza kuwa na impact kubwa zaidi. Kama Saliba.
Kombe Gani??Mpaka sasa Chelsea yuko semi final cwc nyie aseno mnalizungumziaje ili bila unafiq
Usistress sana. Huenda Arteta na team yake wameona kitu kwake wanachoweza kukitumia. Sioni sababu ya kutumia 50m kwa Madueke wakati unaweza kumchukua Eze ambaye anaweza kucheza 8 na 10 na hata 11.As of now inasemwa kwamba Arsenal inaendelea na mazungumzo na kambi ya Noni juu ya makubaliano binafsi na yanaenda vizuri.
Lakini Arsenal pia ipo kwenye mazungumzo na Nwaneri na moja ya sehemu waliyopo kwa sasa ni makubaliano juu ya game time.
Achana na Eze.
Achana na Rodrygo.
Kuna Nelson.
Tunaguarantee vipi game time kwa Nwaneri ili akue ikiwa unahangaika na Noni?
Hii itakua ni nonsensical signing ambayo nimewahi kuishuhudia. Chelsea kapigwa fine leo, hii signing ni sehemu ya kujisafisha.
Binafsi yangu, ikatokea Arsenal tunamsajili Noni sitafuatilia mechi za Arsenal mpaka akiondoka.
Hapa unazungumzia watu waliomleta Sterling na wakaahidi kusajili ST January na hawakufanya hivyo.Usistress sana. Huenda Arteta na team yake wameona kitu kwake wanachoweza kukitumia. Sioni sababu ya kutumia 50m kwa Madueke wakati unaweza kumchukua Eze ambaye anaweza kucheza 8 na 10 na hata 11.
Nwaneri ni mzuri kiasi na bei rafiki. Last season nililalamika anacheza sana kama Odegaard na kutaka mipira imjie mguuni na kukokota wakati tunataka sometimes acheze kama Saka na kufanya runs. Of course, ametupa magoli mazuri kwa hiyo style ila ameua moves kibao kwa uchezaji huo.
Niko tayari kumuacha aende loan kwenye timu kama Brentford iliyo nzuri kwa transitions ajifunze kucheza kama right winger kwa msimu mmoja.
Nelson anatatizo la injuries sana pia. Tumuache atafute timu.
Ninachoona kwa wanachofanya arsenal na berta wake ni kufikia muafaka na mchezaji kwanza na makubaliano yaliyo kamilika alf wanaamia kwa mchezaji mwingine tena kbl ya kutuma offa moja kwa moja kwa club au kbl ya kutuma ofa wajadiliame na clubGhafla husikii swala la Eze ambalo ripoti ilisema mazungumzo yamefika pazuri. Same na kwa Gyokeres tunaambiwa mazungumzo yamefika pazuri.
Yule beki Mosquera first bid ilikataliwa hatujapeleka second bid. Badala yake linavurumishwa swala jingine la kipuuzi la Noni.
Siku mbili nyuma unaambiwa inabidi Martinelli auzwe ipatikane pesa ya kununua ST. Huyu Noni anakuja bure?
Hadi mwandishi wa habari wa Arsenal anasema haelewi hiki ni nini klabu inafanya.
Mashabiki wapo wanasema safi sana kwakua anapatikana decent backup wengine wanasema wataachana na hii klabu.
Najitahidi tu kujipa matumaini bro. Chelkenge wamechukua Gittens na Delap, Manymbu wanamchukua Mbeumo, C11ty imeweza kuwapata kina Cherki. Hao wote naona tulikuwa na uwezo wa kuwachukua mbele ya hizo timu ila ni kama hata hatukuwaangalia hao wachezaji. Hivyo sielewi watu wetu wanafanyaje chaguzi zao.Hapa unazungumzia watu waliomleta Sterling na wakaahidi kusajili ST January na hawakufanya hivyo.
Unaamini kwamba ni kuna kitu cha ajabu wamekiona ambacho wengine hatuwezi kukiona?
Mbeumo bado sanaNajitahidi tu kujipa matumaini bro. Chelkenge wamechukua Gittens na Delap, Manymbu wanamchukua Mbeumo, C11ty imeweza kuwapata kina Cherki. Hao wote naona tulikuwa na uwezo wa kuwachukua mbele ya hizo timu ila ni kama hata hatukuwaangalia hao wachezaji. Hivyo sielewi watu wetu wanafanyaje chaguzi zao.
Mbeumo bado sana
Kwa akili za Arteta ataona bora auze huyu kuliko kumpa nafas yakucheza hata dakika kadhaa per season.Nwaneri na Arsenal wanajadiliana juu ya jinsi gani atapata game time ya kutosha.
Anaweza kuondoka asipohakikishiwa game time.