Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gyokeres ni mzuri anafunga pia lakini Sesko ana high ceiling kuzidi hata Earling haaland.
 
Arrizabalaga
Zubimendi
Nørgaard

Gyökeres
Mosquera

Rodrygo
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Eze
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Madueke

Andrea Berta is cooking.
Arsenal Football Club will be unstoppable next season
Berta atawanyamazisha tu wanaombeza,
Wanasahahu ambacho hua alichokua anakifanya wakati yupo At madrid
 
Mwanzo tuliona taarifa kuwa Sesko ni chaguo la Arteta, Gyokeres ni chaguo la Berta kitambo sana, ila wameafikiana wamlete gyokeres, you know why? everything is about funds & budget, price ya Sesko ipo juu, leipzing hawakupi room for negotiations kama huna €90m, so we opt for gyokeres nadhani ili tusiharibu pesa ya kusajili kwenye nafasi nyingine, the same applied kwa watu km Sterling, Kepa etc unaangalia kile unachoweza kukiplatform na kuleta impact kwenye system uliyonayo, sio kwamba watu hawajui kwamba kuna better option, wanajua, shida money is scarce.
 
Mimi ningekuwa Arteta next season ningemuuza Havertz afu namsajili Sesko, nimesikia Kai kuna Club za ujerumani zinamtaka.
 
Mwanzo tuliona taarifa kuwa Sesko ni chaguo la Arteta, Gyokeres ni chaguo la Berta kitambo sana, ila wameafikiana wamlete gyokeres, you know why? everything is about funds & budget, price ya Sesko ipo juu, leipzing hawakupi room for negotiations kama huna €90m, so we opt for gyokeres nadhani ili tusiharibu pesa ya kusajili kwenye nafasi nyingine, the same applied kwa watu km Sterling, Kepa etc unaangalia kile unachoweza kukiplatform na kuleta impact kwenye system uliyonayo, sio kwamba watu hawajui kwamba kuna better option, wanajua, shida money is scarce.
Timu nyingi zina shida ya St why hakuna kugombaniwa kwa washambuliaji hao sokoni
Gyokeres
Sesko
Osihmen
??
 
kwa sasa tunahitaji mfungaji tu basi, nafasi tunatengeneza nyingi ila mpira wavuni hauingii suruhisho ni Victor.
Unajua tulikuwa na fursa ya kujenga timu moja tishio sana kwa kipindi hiki lakini ni kama tuna comprise standard kwa kuacha option A.

Real Madrid, PSG, City tunahitaji kwenda nao jino kwa jino japo wao wana mkwanja mrefu wa kusajili option A kuliko sisi.
 
Gyokeres ni mzuri anafunga pia lakini Sesko ana high ceiling kuzidi hata Earling haaland.
Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.

Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya Bundes Liga
 
Uwe na Sesko na Gyokeres kwa wakati mmoja??? Si ndo kitatokea kile kile cha halland na Alvarez mmoja lazima atimke tu ?
Kwani kuna shida gani? asiyejua atamkimbia anayejua, volume & output. Ni kama Case ya Rodrygo Real Madrid
 
Unajua tulikuwa na fursa ya kujenga timu moja tishio sana kwa kipindi hiki lakini ni kama tuna comprise standard kwa kuacha option A.

Real Madrid, PSG, City tunahitaji kwenda nao jino kwa jino japo wao wana mkwanja mrefu wa kusajili option A kuliko sisi.
Kwa jinsi ilivyo unaamin sesko alikua ni option A na Gyokeres ilikua ni Option B??? Siamin kama ni kwel ila nachoamin ni kilichotekea january kwa sesko ni kama kilichotokea kwa Caicedo january alf baada ya hapo summer kikatokea na Rice
 
Usajili wa Sesko ni bei lakini namuona kama ilikuwa ni target kitambo, mazungumzo ya Sesko na Arteta tumesikia toka last summer kama siyo January kama sikosei, ila dirisha hili kuna mtu anaitwa Rodrygo, nadhani kocha kaona he's attainable sasa he becomes our main target akili yote imeamia hapa
 
Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.

Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya La Liga
Acha uongo wewe hataki yajirudie lini Kai na sesko walicheza timu Moja Karne hii hamna mtu wa kumdanganya sema tu kalikataa timu lenu yaani sesko amkimbie Kai hivi vituko
 
Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.

Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya La Liga
Yah bei kubwa lakini unamuonaje ku compare na our new #9
 
WE ARE GETTING CLOSER CLOSER CLOSER TO A GOAL MOUTH after new round of talks
 
Back
Top Bottom