[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo mkuu napitia pitia hapa zile picha zilizoanza kuvuja.Wewe kenge upo ?
Wewe jamaa una roho ngumu sana 😀 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa next season hivi kati ya Ange Postecoglou mwenye misimu miwili Spurs na Tetea Kiwigi mwenye miaka 7 unaenda wa 8 hapo Asno ni yupi anaonekana kocha mwenye mafanikio zaidi? View attachment 3341716View attachment 3341721
Huyo Bruno aje kwetu awe anacheza mechi za Carabao na awe back up ya kina Nwaneri.Deal ya Adidas kwa Nyumbu ni kwamba ikatokea hawajafuzu mashindano ya Ulaya wanapunguza uwekezaji kwa 30%
Mind you nyumbu bado ina ile mishahara anayowalipa average players wengi sana ambao mashabiki wanahisi mtu akilipwa pesa nyingi basi ni world class player.
Kama umeangalia interviews za Bruno, Ruben na Garnacho ni kama vile wanaaga mashabiki. Bruno kaenda mbali mpaka kasema kama akiuzwa ili kufinance Maendeleo ya klabu yeye hana tabu. Ila angependa abaki.
Of course hata wewe ungependa kubaki. Mshahara mkubwa na mashabiki wanaamini we ni elite wakati ni average nitakushangaa ukitaka kuondoka.
mkorea anatumia vilevi vikali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo mkuu napitia pitia hapa zile picha zilizoanza kuvuja. View attachment 3342172View attachment 3342173View attachment 3342174View attachment 3342175View attachment 3342176
Mwakani anatimiza 31 huku akiwa hayupo kwenye michuano ya Ulaya.Huyo Bruno aje kwetu awe anacheza mechi za Carabao na awe back up ya kina Nwaneri.
Ni mchezaji mzuri sana ila anahitaji timu nzuri ya La Liga ama Serie A akang'are.Mwakani anatimiza 31 huku akiwa hayupo kwenye michuano ya Ulaya.
Wakizingua (which is very likely) atatimiza 32 akiwa nje ya michuano. By now tunatarajia aanze kua nyanya zaidi kutokana na umri.
Let's see
Imeingia Fainali ya Mbao Cup huko jijini LondonArsenal wameigia fainali UCL ama hawajaingia? nithibitishieni
Kweli aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu huu Eddie Nketiah ana mafanikio makubwa kuliko Saka.
Ukibisha huna akili. View attachment 3337676
Tupo kwenye Phase 6 ya moboresho....tukifika phase 10 tunaanza kubeba kombeTangu tuanze kua kwenye rhythm huu ni msimu ambao mechi ya kwanza tu nikajua we will have a long season.
Huu ni msimu ambao kila kitu kilikua against surprisingly ambao wanaclaim wana timu bora wanatrail. Mkikutana watafanya swarming ya mbele ya goli.
Anyway, hii timu kumaliza nafasi ya pili ni milestone. Kikosi kinatakiwa kuboreshwa, maajabu yake bado tunafanya unnecessary dragging
Umechanganya mafile kidogo mkuu. Tuko Phase 3. Phase 4 ni phase ya makombe. Yaani ukiona tu makombe yanaingia, ujue Phase 4 hiyooo.Tupo kwenye Phase 6 ya moboresho....tukifika phase 10 tunaanza kubeba kombe
Hamjambo wazee wa trophy less! Nashanga tangu uzi umeanzishwa mpaka leo hii club imekua na ukame dah! Inahuzunisha sana lakini mie napita tu!
Ciao.
FA halina mashiko tuongelee la premier league 😄Daah. Mbona msimu (tena ni nusu msimu tu) wake wa kwanza Arteta alibeba kombe la FA, 2020?
Amorim hajaweza hiki kitu na Maresca bado hajafanikiwa hiki kitu pia, labda abahatike sana Jumatano ijayo.