Ngapi ngapi hukoSaliba bench
False hoper bana, this season match 4 Newcastle kashinda 3 kupata ushindi wa papatu unakuja kupiga kelele.Inabidi uwe mjinga ili uamini Newcastle anaifunga Arsenal
Inabidi uwe mjinga ili uamini Newcastle anaifunga Arsenal.False hoper bana, this season match 4 Newcastle kashinda 3 kupata ushindi wa papatu unakuja kupiga kelele.
Msimu umeisha onyesha kombe unavyo ongelea arsenal kama vile team 😅😅 kumbe kikundi cha wacheza ngoma
Kikundi ni nyie tu epl nzima miaka 22 hamna kombe sasa nyinyi ni team? Furaha yako kubwa kuliko zote kwenye soka ni kumfunga madrid 😅 wewe unaona nan kikundi ?Inabidi uwe mjinga ili uamini Newcastle anaifunga Arsenal.
Sijakutana na kakikundi kanajua kupaki basi kama haka kakifuatiwa na Inter
KWENYE RHYTHM SIO!!!!!!Tangu tuanze kua kwenye rhythm huu ni msimu ambao mechi ya kwanza tu nikajua we will have a long season.
Huu ni msimu ambao kila kitu kilikua against surprisingly ambao wanaclaim wana timu bora wanatrail. Mkikutana watafanya swarming ya mbele ya goli.
Anyway, hii timu kumaliza nafasi ya pili ni milestone. Kikosi kinatakiwa kuboreshwa, maajabu yake bado tunafanya unnecessary dragging
Furaha ya Arsenal ni kuifunga spurs. Makombe hua ni bonus tuKikundi ni nyie tu epl nzima miaka 22 hamna kombe sasa nyinyi ni team? Furaha yako kubwa kuliko zote kwenye soka ni kumfunga madrid 😅 wewe unaona nan kikundi ?
Yaani inter unaita kikundi kuwa na heshima basi false hoper? Inter yupo final uefa ndani ya miaka 3 yupo final 2 wewe miaka 20 hii una final 1 😅 huko kwenye league ndo usiseme.
Shida si kupaki basi shida ni ndani ya cabinet una trophy?? Kama huna wewe basi hicho ni kikundi cha ngoma tu kama wamakonde wengine
KWENYE RHYTHM SIO!!!!!!
Rhythm gani😂😂😂 unajua arsenal fans huwa mnaleta raha sana yaani mpo kwenye rhythm ndo makombe yenu hayo .
Rhythm peleka kwenye ngoma huko huku kwenye mpira ni trophies basi, tukiwaambia nyinyi ni kikundi cha ngoma mnabisha ona sasa ushaanza kuleta mambo ya ngoma huku.
Huwezi kuta fan wa Chelsea, man city , Newcastle, Liverpool , man utd Leicester na hata westham wanaongelea mambo ya rhythm 🥁😆 ni wataongelea drogba alivyopiga tuta la mwisho, rodri alivyopiga ile bomba ikazama, mahrez na vard walivyokua wanasumbua, slot alivyonyanyua kombe , van der saar alivyochomoa tuta la anelka, rice na moyes walivyonyanyua kombe au isak alivyopiga kamba ya pili hizi zote ni story za makombe.
Wewe unaleta mambo ya ngoma tena kwenye football