Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki wa arsenal bongo wanataka Tottenham ashinde ila uingereza naamini wanaiombea Manchester ndio ashinde.
 
Majinga yanazunguka humu mwezi mzima kupiga makelele ya kipuuzi halafu fainali yanasasambuliwa. Jinga lingine utakuta linamsapoti mjinga mwingine.

Successful campaign kuliko Arsenal, jinga kabisa. Anyway, hata hivyo ni bora angeshinda United kuliko Spurs. Ila kwakua united hawajui mpira matokeo yake ndiyo haya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana Flano bado nusu ampasue bwege flani hivi kibanda umiza, hua sipendi zereu mimi, hivyo kuweni na tahadhari humu msije kusema sikuwaambia[emoji16][emoji16][emoji16]
1747893424476.jpg
 
Unaikuta timu nafasi ya 8 unaipeleka nafasi ya 16 with potentially kuishia 17th halafu unafungwa na spurs.

Ila hii ni baraka. Msimu ujao nyumbu atakua hana mambo mengi lazima achukue ligi
 
Mbuzi mmoja anakuambia hua anashinda makombe msimu wa pili.

Mbuzi mwingine anakwambia hajawahi kupoteza fainali.

Battle of retards
Mbuzi mmoja amekuwa na msimu wa mafanikio kuliko arsenal na washabiki wake wote ,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa next season hivi kati ya Ange Postecoglou mwenye misimu miwili Spurs na Tetea Kiwigi mwenye miaka 7 unaenda wa 8 hapo Asno ni yupi anaonekana kocha mwenye mafanikio zaidi? View attachment 3341716View attachment 3341721
Arse8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowana huku wakisema chukua chukua yote yako.
 
Arsenal fans online wameanza kuchambua context ya spurs kuchukua kombe.

Aina ya opponents na cash incentive ya kushinda Europa. They are trying to water down umuhimu wa hili kombe kwa spurs.

I think in terms of winning they did great labda ije kwenye ishu za cash incentive, hapa ndiyo Arsenal anakua top.

Anyway, it's funny pia mashabiki wa nyumbu wengine wanasema Hakika Ruben afukuzwe halafu wengine ili kuficha maumivu wanajifanya hawajali so long as Arsenal hana trophy 😅

Ujinga ni kipaji. Kiundiwe segment kwenye mashindano ya Olympic
 
Ubaya uko hapa.

Kutokana na kukosa kombe nyumbu anakua hayupo sawa financially kwenye vitabu. Ili kuvibalansi itabidi auze baadhi ya wachezaji, kisha asajili mid players.

Elite players watahitaji pesa zaidi hii itasababisha vitabu visibalansi. So system is kinda leaning on making sure aliyefanikiwa anafanikiwa zaidi.

Hivi viazi 😅😅 havijajua uzito wa situation bado vinazunguka kujifariji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] "Utayari wa Arsenal kwenye ugomvi ni mzuri and I like that"

Mpuuzi aliye nafasi 16 halafu akabeba kombe la Ulaya akiwa Unbeatable ni mpuuzi mwenye faida kuliko yule mpuuzi anaesindikiza wenzake kila msimu na kutoka mikono mitupu huku akiishia kuisifia timu yake kwa utayari wa ugomvi na kupata red card nyingi.

Natamani mashabiki wa Arsenyau wangefungiwa tu akili mnemba kuliko kuachwa wanaropokwa hovyo. View attachment 3339798
Wewe kenge upo ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom