Tukutane munichHii ishu ya kuingia fainali UEFA ni kweli?
how will you arrive there(opposition 3rd) km unataka penalty box striker?, mpira ni mchakato jamani, mpira hauwezi kufika pale kwa miujiza ukizingatia usajili wa zubimendi means we want to play calmly and cleanly out from the back. Osimhen/ Haaland/ Lewandowski wanalink play na kufunga pia, kulink play na ku hold sio kutu kinachomfanya striker awe mbovu kufunga.Natamani tupate striker ambaye ni typically not our player.yaani mtu ambaye anazingatia jukumu la msingi la nafasi yake tu which is scoring.
Mambo ya link up play
Passing ability
Runs etc hayo yawe ziada.
Hizo sifa ndo zilituletea kina lacca,Kai na wengine
Mwisho wa siku unaweza shangaa tumesajili mabeki wengine,dm au kipa tukaachwa tuendelee kupiga kelele za striker kama kawaida. Arteta anasuprise sanaIla sajili ni kamari tu, Wacha tuone ipi ita lipa.
Ingawa naona Watkins Alisha prove kitu.
Arsenal wameigia fainali UCL ama hawajaingia? nithibitishieniArsenal pamoja na ubora wake wa miaka 5 mfululizo lakini bado anatoka trophless hakuna hata fainali moja ameingia.
Hii ni aibu bora hii timu ifutwe tu aina maana wala faida
UEFA si tunakipiga na inter?Nyie mazwazwa hata nafasi ya pili mnaenda kutolewa. Na msipoangalia pia mtamaliza nje ya nafasi ya tano.
Sema Arteta wamemtengenezea bango tamu sana wanangu wa LiverpoolMsimu huu Crystal Palace wana mafanikio makubwa kuliko Arsenyau.
Ukibisha hauna akili. View attachment 3337387View attachment 3337388View attachment 3337389