Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Una ushahidi gani kua sina confidence na mafanikio ya timu yangu?hamjashinda makombe misimu 3.
Now tuassume mmeshinda makombe misimu 3. Na mmeshinda makombe ya muhimu.
Kwanini hauna confidence na timu yako na mafanikio yako mpaka inabidi uje kutafuta relevance hapa? Kwanini lazima utafute engagement kuquote watu day in day out?
Tunawaquote sio kwa kupenda bali kusahihisha pale tunapoona mnaudanganya umma waziwazi.