HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,675
- 7,132
Si nilikuambia unakuja kunipa points 3?Point 3 zipi hapo emirates umesahau nimekupiga 2 :0 hapo hapo tena nakupiga goal 3 leo.
Katika game 5 tulizokutana umeshinda game 1 tu zote 4 nakupiga , kwanza nafasi ya 2 inabidi nikae mimi hapo maana huna unachokifanya muda wote upo hapo.
Na jana tuliwahurumia sana nyie. Sasa pambana uingie top 5 tukacheze wote Champions League. Sisi Ze Ganaz tunawasupport nyie muingie kuliko wale washamba Chelkenge.