fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,495
- 10,124
Mwakani nyumbu tunakuwa wapenzi watazamaji tu. Ingawa binafsi naona ni wakati mzuri wa kufanya rebuild ya kina bila presha ya mechi za ulaya ukizingatia recently tumefanya panic buys kuendana na ushindani na brand yetu sokoni, basi wauzaji walikuwa wanatupiga parefu kwa magalasa.