Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo wanawake wetu wako UCL final na wanawake wa Barcelona, mabingwa watetezi.
Sijui kama Van Domselaar atakuwa amerudi golini maana yeye ni nafuu kuliko Zinsberger.
 
20250524_140758.jpg
 
Leo wanawake wetu wako UCL final na wanawake wa Barcelona, mabingwa watetezi.
Sijui kama Van Domselaar atakuwa amerudi golini maana yeye ni nafuu kuliko Zinsberger.
Nyie hata uwezo wa droo hamna. Mhindi kawapa 9!! Pain every where sio kwa wanaume sio kwa wanawake. Mmelaaniwa.

Sie wakina mama angalau wametupa invicible ya pili safiii. Ambayo mnatambaga nayo, mpk wamama wanaweza!! tena mara ya pili. Sio ishu tena.
 
Hata kufika fainali yenyewe wanawake wetu wamefika kwa ugumu sana. Barcelona wao waliteleza tu mpaka fainali. Hawa Barcelona waliwacharaza haswa wanawake wa Chelsea.
 
Barcelona wametukalia kooni ila Blackstenius amewakosakosa hapa. Almost iwe 1-0
 
Bado dk 7. Blackstenius alikuwa na fursa ya kumaliza game dk ya 90...ila si mbaya. Hebu tuone kama tutaweza kushikilia bomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom