Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hamjambo wazee wa trophy less! Nashanga tangu uzi umeanzishwa mpaka leo hii club imekua na ukame dah! Inahuzunisha sana lakini mie napita tu!

Ciao.

Daah. Mbona msimu (tena ni nusu msimu tu) wake wa kwanza Arteta alibeba kombe la FA, 2020?

Amorim hajaweza hiki kitu na Maresca bado hajafanikiwa hiki kitu pia, labda abahatike sana Jumatano ijayo.
 
1000017330.jpg
 
Kwa timu ya kwanza mpaka ya saba timu iliyofunga magoli mengi mpaka sasa ni Liver magoli 85, Man City 70, Newcastle 68, Arsenal 67, Chelsea 63, Villa na Forest wote 58.

Arsenal ni ya nne kwa kuscore magoli mengi lakini imekua na majeruhi wengi msimu wote, Liver, City, Newcastle, Chelsea zote zina angalau forwards zaidi ya wawili ambao wanahesabiwa ni elite kiasi kwamba wamemlipia zaidi ya 80M mmoja wao.

Katika hizi timu Arsenal inastruggle zaidi kuscore haswa kwakua haina ST na timu nyingi zinafanya low block. Now observation kama hii ndiyo inasababisha Arsenal ijivute kusajili.

Kila siku ni rumours mpya, Arsenal kapeleka ofa CP, Breaking: Arsenal kaamua kupursue Sesko, Breaking: Arsenal wanamhitaji LW na Lookman ni miongoni mwa wanaomconsider.

Katika hizi fununu kuna wapuuzi wanaenjoy kuitaja Arsenal coz online more clicks equals to more money.

So utasikia, Breaking: Dusan offered himself to Arsenal, Breaking: Arsenal made contact with Isak.

Meanwhile, Arsenal imelala hata haijui kama huu ni muda wa kusajili
 
Kiwikor, Nuanweri, odegard mseti nywele, wawape ubingwa wakati kina Fabregas watu wa kazi walishindwa
 
A reminder for everyone who needs to hear it 🫶🏼

League titles:
Arsenal - 13
Chelsea - 6

Champions League:
Arsenal - 0
Chelsea - 2

FA Cups:
Arsenal - 14
Chelsea - 8

Community Shields:
Arsenal - 17
Chelsea- 4

Major honours won:
Arsenal - 48
Chelsea - 34

Relegations:
Arsenal - 0
Chelsea - 6

League and cup doubles:
Arsenal - 3
Chelsea - 1

Invincible:
Arsenal - 1
Chelsea - 0

Played in conference league

Arsenal -0
Chelsea -1

Lowest position finish:
Arsenal - 12th
Chelsea - 20th

Arsenal wins against Chelsea - 83
Chelsea wins against Arsenal - 66
 
A reminder for everyone who needs to hear it 🫶🏼

League titles:
Arsenal - 13
Chelsea - 6

Champions League:
Arsenal - 0
Chelsea - 2

FA Cups:
Arsenal - 14
Chelsea - 8

Community Shields:
Arsenal - 17
Chelsea- 4

Major honours won:
Arsenal - 48
Chelsea - 34

Relegations:
Arsenal - 0
Chelsea - 6

League and cup doubles:
Arsenal - 3
Chelsea - 1

Invincible:
Arsenal - 1
Chelsea - 0

Played in conference league

Arsenal -0
Chelsea -1

Lowest position finish:
Arsenal - 12th
Chelsea - 20th

Arsenal wins against Chelsea - 83
Chelsea wins against Arsenal - 66
Aisee weka basi ile UEFA Cup Winners Cup yetu ya 1994.

Lile kombe lilikuwa kubwa kuliko hiki ki Conference.
 
Back
Top Bottom