Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila Raya naye apunguze kidogo kuwapa pasi wachezaji waliokabwa ndani ya box letu.
 
GOAL! Merino gets the rebound and heads it home! Liverpool 2-2 Arsenal

 
Odegaard alikuwa na chance ya kutushindia hii game ila huyu jamaa msimu huu amekuwa hovyo. Acha tu msimu uishe akafanye surgery yake.
 
Lot of work needed to reshape our team. Mwishoni mwa msimu pumzi inakata
Reshape miaka 7… uzuriii wa false hopes huwa haziiishi mpaka mnazeeka .
Just imagine halland, foden, elliot, trent wamezaliwa wakanyonya wakacheza under 5, under 10 na under 15 lakini wana makombe mengi wamenyanyua kuliko uliyotazama arsenal akinyanyua.
Nasema uongo ndugu zangu wa supercomputer??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fainali ya emirates mtakutana nao si ligi ya mabingwa, nyinyi si mabingwa
 
PGMOL na FA kwa pamoja tunawatakia arsenal fans wote ulimwenguni final njema by senderoes πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aaaah leo ngoja nipitie hizi hopes za arsenal.
Huyu furaha kubwa ya mpira ni kumfunga real madrid ambaye hata leganes wanamfunga.

Wakati chelsea, man utd , Liverpool na man city furaha yao kubwa zaidi ni kubeba uefa , kuna arsenal fan yeye furaha kubwa aliyoipata toka aanze kuangalia mpira ni kumfunga real madrid πŸ˜….
 
Itakuwa haujatusoma vizuri au hujatuelewa mkuu.

Sisi hatumuwazi Madrid hapa robo fainali wala PSG nusu fainali.

Tunachokiwaza sisi ni fainali tutacheza na Barcelona ama Inter, na ni yupi tunamtamani zaidi kati yao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ henry ni wewe huyu kweli ama??? Itabidi mcheze na wigan fainali ya false hopes trophy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…