Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT. Arsenal 4 - 3 Manchester United.

Arsenal sasa wanasubiri fainali ya Champions League na Barcelona huku Manchester United wakisubiri fainali ya FA cup na Chelsea.
 
Unataka ubingwa una sajili Zubeda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya kumkosa amekua zubeda
20240107_153833.jpg
 
1746893187070.png


ALESSIA RUSSO
2024/2025 WSL GOLDEN BOOT WINNER (tied with Khadija Shaw wa Man City)
PFA Writers Player of the Year.

Hongera kwake.

Mambo yakiendelea hivi wanawake wetu nao wataanza kuwaletea Chelsea ushindani wa kweli.

Timu ya wanaume nayo iache kuzingua ianze kubeba makombe kabla hatujazeeka.
 
Nah, awe converted kua LB. Atateseka na pace ila afanyie kazi technic
Awe LB ambaye hapandi juu, yaani anakuwa anapeleka yale mapass yake akiwa nyuma? Tukishambulia yeye na Gabriel na Saliba wanaunda back 3, Gabriel kati huku Saliba anasogea kulia?
 
Papa John Paul I alifariki dunia mwaka 1978, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.

Mwaka 2005 Papa John Paul II alifariki dunia, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.

Mwaka 2022 Papa Benedict XVI alifariki dunia, timu ya England ikabeba kombe la UEFA.

Mwaka huu Papa Francis amefariki dunia.

Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

C&P
False hope kwenye peak 😂😂 unasema timu ya England ilichukua ubingwa ni sahihi ila umesahau tu Arsenal sio team ni kikundi cha matumaini na vichekesho
 
Vyanzo mbali mbali plus super computer wanaipa arsenal asilimia kubwa ya kubeba UEFA
Liverpunda acha achukue hicho ki-EPL, sisi tunalibeba li-UEFA

NB
Bilbao anawapiga home and away
Kesho tutakua na kikao usikose arteta atakuepo umuelezee ni super computer ya wapi na ni UEFA hipi mnabeba.
Yaani carabao tu limewashinda ndo mje kubeba kombe zito kama UEFA , nan pale anaweza kunyanyua uzito wa UEFA trophy
 
1746948476686.png


Jamie Gittens, LW wa Borussia Dortmund.

Nasikia tunamuangalia kama mbadala wa Nico Williams kwa upande wa gharama, kuanzia transfer fees mpaka wages. Ana miaka 20, ni Muingereza na anaweza kupambana na Martinelli, naona anamzidi Martinelli kwenye dribbling na anashoot chap kwa miguu yote kama Trossard. Nafikiri ni vizuri tukimpata huyu ili tumuachie Trossard aondoke. Inaonekana pia kuwa kwenye pressing na defending hayuko vizuri kama Martinelli ila kama watashirikiana vizuri, Martinelli anaweza kuwa anaanza mechi halafu kipindi cha pili anaingia huyu kwenda kuwapa stress mabeki waliochoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom