Hamna mtu humuKingsley Coman kwa £30m na mshahara wake ni £280k per week. Je atatufaa?
Exactly, kwa kuwa sina tabia ya kutembelea uwaniMontserrat anapenda sura zaidi inaelekea, na labda kwake chura siyo ishu 😀 si unaona amemtaja Leah Williamson?
No, Labda with hefty cash splashI think Saliba ataondoka
Si umeona tumetrigger one year extension badala ya kumlock kabisaNo, Labda with hefty cash splash
Dah kazi ikiwa na shape ikilala kifudi fudi mechi inaweza kuanza automatically kwa upande wanguE
Exactly, kwa kuwa sina tabia ya kutembelea uwani
Mfano, Partey akiondoka kwenye midfield, halafu kwenye defense tukamkosa Tierney, Zinchenko, Tomiyasu na labda Kiwior kwa kuondoka au kuuzwa kwao. Je, tunahitaji kununua beki au midfielder mwingine? Nadhani Arteta anaangalia midfielders sana kwa sababu unakuta wanaweza kucheza defense (Partey anacheza right back tukikosa namna hapo. Rice anacheza centre back) na attack (Rice, Merino, Havertz) hivyo wanasaidia kuziba mapengo mengi kiasi.Arteta na midfield
View attachment 3311113
Nwaneri naona bado ana mengi ya kujifunza ila Lewis-Skelly naona yuko tayari kupanda level nyingine kwetu.
Sioni partey akiondoka
Ni sawa unachokiona.Mfano, Partey akiondoka kwenye midfield, halafu kwenye defense tukamkosa Tierney, Zinchenko, Tomiyasu na labda Kiwior kwa kuondoka au kuuzwa kwao. Je, tunahitaji kununua beki au midfielder mwingine? Nadhani Arteta anaangalia midfielders sana kwa sababu unakuta wanaweza kucheza defense (Partey anacheza right back tukikosa namna hapo. Rice anacheza centre back) na attack (Rice, Merino, Havertz) hivyo wanasaidia kuziba mapengo mengi kiasi.
Nwaneri bado kwenye defense na kukuza work rateNwaneri naona bado ana mengi ya kujifunza ila Lewis-Skelly naona yuko tayari kupanda level nyingine kwetu.
Haya mambo ni jinx hiziPapa John Paul I alifariki dunia mwaka 1978, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.
Mwaka 2005 Papa John Paul II alifariki dunia, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.
Mwaka 2022 Papa Benedict XVI alifariki dunia, timu ya England ikabeba kombe la UEFA.
Mwaka huu Papa Francis amefariki dunia.
Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
C&P
It will be a grave mistake to let Kiwior go. Kiwior walikuwa wanamchukulia poa kwa sababu alikuwa hapewi game time ya kutosha. Lakini ni asset kwa klabuMfano, Partey akiondoka kwenye midfield, halafu kwenye defense tukamkosa Tierney, Zinchenko, Tomiyasu na labda Kiwior kwa kuondoka au kuuzwa kwao. Je, tunahitaji kununua beki au midfielder mwingine? Nadhani Arteta anaangalia midfielders sana kwa sababu unakuta wanaweza kucheza defense (Partey anacheza right back tukikosa namna hapo. Rice anacheza centre back) na attack (Rice, Merino, Havertz) hivyo wanasaidia kuziba mapengo mengi kiasi.
Same story, the guy is good. He is underrated because he hasn't been given enough game time, so is Butler Oyedeji. Jana niliona kama akipewa muda wa kutosha, tusingekuwa tunatafuta ST. We shouldn't be moved by the big names, we have talents within club, they just need nurturingNwaneri bado kwenye defense na kukuza work rate