Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa new ST, LW, AM maybe na Zubimendi, kwanza kama tunamsajili zubi maanake total football ile msimu wa kwanza wa Zinchenko inarudi, kama Zubi anamreplace partey maanake hata style of play inachange, sio tena physical, ni technical tu sasa kina Newcastle hatushindani tena manguvu na duels off the park ni kuutafuta chumba kwa chumba, passer zubi, release runners kina maybe Williams na new ST ambaye naamini atakuwa outlet km Haaland sasa kwanini usienjoy soka, ukumbuke km Zubi ni dm maanake we control the game with the ball, yani mwingi paka unamwagika na goli ni nyingi cuz we will have a top striker, the future is exciting, in Arteta we trust. #Coyg.
 
Sawa Charlie chaplin.
 
Unajua kelele nyingi humu ni kwamba siku hizi timu zao wamesahau kuona zinashinda against us, been so good nowadays even with big number of injuries and redcards, sasa timu ya hivi lazima itengeneze fear factor kwa wapinzani, kilichobaki ni ku deliver big trophies tu, kitu ambacho nakiona next season
Kwahiyo hizo injuries ilipata timu yenu tu?
Timu nyingine wachezaji Wana miili ya chuma walikuwa hawaumii?
 
Hasira unazo wewe. Unataka utumie watu kama sehemu ya kukupunguzia stress.

Unaquote kila mtu unatafuta relief.

You are too dependent on others unaamini unahitaji validation kutoka kwa wengine.

Hii tendency inaonekana sana kwa watu waliolelewa na mzazi mmoja. So sorry nigga
Sasa hasira nitolee wapi wakati nina carabao cup😅
Relief ipi ivi kati ya false hoper na mimi geordie nan wakutafuta relief

Maisha ya nadharia yatawaua false hopers ..yaani una nadharia ya mimi kulelewa na mzazi mmoja tena kama nadharia ya fainali mnacheza na barcelona😂😂😂😂
 
Hongera kwa Carabao cup. Tukutane CL mwakani.

Una attachment issues pia, hii kunifuata na kukomaa nimesema vitu sijawahi kusema siyo mara ya kwanza.

Inamaanisha nipo sahihi juu ya nilichosema, haya ni malezi ya mzazi mmoja yamesababisha utafute kufit in kilazima hata kwa kuongopa.
 
Hasira unazo wewe. Unataka utumie watu kama sehemu ya kukupunguzia stress.

Unaquote kila mtu unatafuta relief.

You are too dependent on others unaamini unahitaji validation kutoka kwa wengine.

Hii tendency inaonekana sana kwa watu waliolelewa na mzazi mmoja. So sorry nigga
Mkuu hapo chini umezingua na umepanic.
Watu wamelelewa na wazazi wa wili na bado wakawa mashoga.
 
Mkuu hapo chini umezingua na umepanic.
Watu wamelelewa na wazazi wa wili na bado wakawa mashoga.
Chief, hua unanijudge nasema umekosea. Mimi kazi yangu inahusisha kujudge character pia, na nilichofanya hapo ni uzoefu wa kazi yangu.

Kuzingua ama la niliyemquote atajua.
 
Mkuu Castr ulifika mpaka hatua ukawaita watu Majinga Majinga kwa sabahu ya kuwafunga R.Madrid ukaamini kabisa una team bora .
Basi ligi ya EPL imejiishia kama timu worse inashika nafasi ya pili.
 
Screenshot_2025-05-10-10-32-54-222_com.twitter.android-edit.jpg
 
Yani unachukua kombe afu huvutii wachezaji, hii ni case ya Liverpool na chelsea, tofauti Chelsea wao humwaga hela case ya Mudryk

Hivi hawajui kuwa Rice tulimchukua mbele ya City na Bayern, Harvertz tulimchukua mbele ya Madrid na Bayern
IMG_20250510_103639.jpg
 
Yani tunaongeza Magalactico tu, now Saliba, Saka, Rice, Zubi hii ni special kwa zile UCL nights against Real Madrid
 
Sasa hasira nitolee wapi wakati nina carabao cup[emoji28]
Relief ipi ivi kati ya false hoper na mimi geordie nan wakutafuta relief

Maisha ya nadharia yatawaua false hopers ..yaani una nadharia ya mimi kulelewa na mzazi mmoja tena kama nadharia ya fainali mnacheza na barcelona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo ukiwa unaongea nao asikae nao karibukaribu, sasa hivi wanatembea na visu mifukoni, tahadhari ni muhimu sana kipindi hiki.
Jana kuna mmoja alikua anaongea mwenyewe barabarani halafu kabeba mabetri, kila akipishana na gari anarusha betri kwenye kioo cha mbele, amewatia hasara watu wengi kabla ya kudhitiwa na kupelekwa kituoni.
1746865204876.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom