Mna bahati KENGE nyie...MATETA kawaokoa, Liverpool alitaka achukue ubingwa mkikutana nae lakini MATETA kawaokoa atachukua kabla hamjakutana.Trossard scores
Huna akili mtoto wa kamboMna bahati KENGE nyie...MATETA kawaokoa, Liverpool alitaka achukue ubingwa mkikutana nae lakini MATETA kawaokoa atachukua kabla hamjakutana.
Kitu pekee mtakachofanywa kwa Liberpool ni kujipanga mstari kuwapigia makofi wakipita katikati yenu wakiingia uwanjani kwa kuwa watakuwa tayati mabingwa.
Msimu ujao nitajitahidi nifike Emirates
Pale Emirates ukienda kuna vibe flani tofauti na duniani kote...
Kabla ya mechi kuanza, utasikia ile "The Angel" inavyopigwa—emotional sana!
Kisha mashabiki wote wanainuka na kuimba kwa nguvu:
"North London Forever...
Whatever the weather..."
Halafu ghaflaaaa!
"And it's Arsenal!
And it's Arsenal FC!
We're by far the greatest team
The world has ever seen!"
Ukikaa Clock End, utasikia sauti zikipasua anga:
"Ole ole ole...
We won the league at Anfield,
We won it at The Lane,
Stamford Bridge, Old Trafford...
No one can say the same!"
Kabla hujaondoka, mashabiki wanakuletea mdundo mwingine:
"We have got Super Mikel Arteta,
He knows exactly what we want,
Tierney at the back,
Gabby in the attack...
Arsenal! We're in the Champions League!"
Na bado hujasikia:
"Gabriel Martinelli!"
"Du du du... Saliba!"
"I like Saka and Emile Smith Rowe!"
Na moto wa hivi sasa:
"Kai Havertz scores again!" Cobra Kai style!
Oyaa siku moja tu...
Nitakaa North Bank!
Na iwe mechi ya Nyumbu
Tufanye jiji lote litetemeke!
Up Gunners!
Once a Gunner, Always a Gunner!
COYG – Co
me On You Gunners!
️ Victoria Concordia Crescit
️


Kumuona humu Masingeli kabla ya mechi akiwadanganya wenzake huwa nafarijika sana, sawa tu na vile wanavyofarijikaga mashabiki wa Arsenyau pale wanapoonaga predictions za allypipi kwenye lile jukwaa la mabingwa


Papa John Paul I alifariki dunia mwaka 1978, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.
Mwaka 2005 Papa John Paul II alifariki dunia, mwaka huo timu ya England ilichukua ubingwa wa UEFA.
Mwaka 2022 Papa Benedict XVI alifariki dunia, timu ya England ikabeba kombe la UEFA.
Mwaka huu Papa Francis amefariki dunia.
Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
C&P


Chawa katika ubora wake wa false hope, ila mkorea hizi sio akili zako, itakua Masingeli amekuandikia halafu kakwambia upost. 


Timu kali sana hii kwa Crystal Palace


Kweli kabisa ni timu kali sana hii kwa Palace, mimi mwenyewe nimekubali.Arteta humwambii kitu kwa Raya.Tufanye haraka tumchukue kipa wa Espanyol Barcelona