Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Punguza hasira kaka , hasira za nini wakati wewe ni false hopers wazee wa final tucheze na nan?😂😂We naye ni mjinga mjinga.
PSG haina ST Ramos ni beki? Walivyoona hafanyi poa January wametumia sh ngapi? Hua unanitia uvivu kukujibu kwakua hujui vitu halafu unataka ujenge hoja.
Ramos ameanza mechi ipi ?? Ramos sio first 11 huyo ramos kacheza dk ya 92.
PSG wamewafunga bila ST huu ndo ukweli . Unamuongelea ramos ambae katika dk 180 kacheza dk 7