Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mh kwani ulikua unashirikiana nao?
Hilo swali labda umuulize Fabrizio Romano maana yeye ndie alietoa hio taarifa.
1740243966258.jpg
 
Kilichobaki tujadili msimu ujao tu,
What if tukamsajili dembele, merino afundishwe kucheza 6 alafu rice acheze cm
Then tutafute 9 wakueleweka, havertz awe anapokezana na rice au uyo 9.
At the same time nwaner awe intergrated zaid kwenye AM
dembele umri ushaenda hana mda sana anamaiza soka alafu ni trip shamba trip garage, kiuhalisia saaahv duniani amna wachezaji wa uhakika tunabahaisha tu ivo ivo mambo yanaenda si unaona madrid pale kapiga mahesabu kama yako lakini wap
 
Tu
Nafikiri ni kombe la dunia la SA ndiyo Spain ilichukua kombe huku ina viungo watupu bila ST.

Fools would just pass the ball around until they got closer to the goalie, kept passing till the ball got itself into a net
Hata hio spain yenyewe alikuepo ST david villa, wakati tunawaambia hamuezi kuchukua kombe kwa mipira ya set pieces mkaona tunawachukia .

Si ni wewe juzi tu hapa ulikua unaiponda psg false hoper ushasahau maneno yako tena.
Halafu hao psg wenyewe hawana ST na mmekula chuma nje ndani , bora wanangu liverpool na aston villa wameonyesha uhai kuliko kenge nyie .
Spurs , chelsea wote wapo final nyinyi tu mnatia aibu pale london maana hata westham tu europe trophy wanalo.
Spurs akibeba Europa mtatueleza nini kenge nyie
 
Huyu PSG katoa timu 3 za Uingereza. Mojawapo ni Loserfools, mabingwa wa PGMOL, PSG hajaangalia sijui wewe hua hautembei peke yako au ni mshika bunduki ni fimbo tu zimetembea
Unapata wapi ujasiri wa kuwaita liverpool jina hilo mzee ? Nauliza tena ujasiri unautoa wapi ? Technically hilo jina ni la kwenu na si liverpool.
Team imekuzidi kila kitu unaita loser kweli maana ligi kakuzidi uefa kakuzidi tukisema tuanze kuhesabu miaka 2 nyuma au 3 basi 5 au hata 1 bado kakuzidi kila kitu si uefa si ligi😂😂
 
Hilo swali labda umuulize Fabrizio Romano maana yeye ndie alietoa hio taarifa. View attachment 3328385
Kwanza ni uongo.

Rumours ni za mwaka 2021.

Ila kuanzia huo mwaka hadi leo hua unakumbushia kila ukimiss ushiriki wako.

I don't understand kwanini uniquote kuniambia habari za ushoga. Kama unaenjoy just do it ila huna haja ya kunijulisha kua unaenjoy
 
Tu

Hata hio spain yenyewe alikuepo ST david villa, wakati tunawaambia hamuezi kuchukua kombe kwa mipira ya set pieces mkaona tunawachukia .

Si ni wewe juzi tu hapa ulikua unaiponda psg false hoper ushasahau maneno yako tena.
Halafu hao psg wenyewe hawana ST na mmekula chuma nje ndani , bora wanangu liverpool na aston villa wameonyesha uhai kuliko kenge nyie .
Spurs , chelsea wote wapo final nyinyi tu mnatia aibu pale london maana hata westham tu europe trophy wanalo.
Spurs akibeba Europa mtatueleza nini kenge nyie
We naye ni mjinga mjinga.

PSG haina ST Ramos ni beki? Walivyoona hafanyi poa January wametumia sh ngapi? Hua unanitia uvivu kukujibu kwakua hujui vitu halafu unataka ujenge hoja.
 
Unapata wapi ujasiri wa kuwaita liverpool jina hilo mzee ? Nauliza tena ujasiri unautoa wapi ? Technically hilo jina ni la kwenu na si liverpool.
Team imekuzidi kila kitu unaita loser kweli maana ligi kakuzidi uefa kakuzidi tukisema tuanze kuhesabu miaka 2 nyuma au 3 basi 5 au hata 1 bado kakuzidi kila kitu si uefa si ligi😂😂
Here we go again. Kaa kushoto kama huna uelewa wa banter names za clubs.

Acha kusumbua umma bob
 
Reminder

Huchagui timu. Subconsciously timu inakuchagua and it hits you kwamba you are in love with the club.

Baba yangu ni Liverpool wakati Liverpool inastruggle alikomaa na timu yake. Katika crew yangu ya watu wanne kuna Chelsea, Liverpool na united fan na katika vipindi tofauti kila mmoja alikomaa na timu yake.

Unaweza amka na kusema sifuatilii mechi. Ila huwezi amka ukasema kuanzia leo mimi siyo Simba naanza kushabikia Yanga. Ukiweza kufanya hivi wewe ni plastic fan, na ni ngumu sana plastic fan kua na hoja.
 
Tusiwe down.
It's been a fantastic ride. We will come back stronger next season.
Lazima kuna vitimu vingependa kuwa nafasi yetu.
C O Y G
Gunners for life
💪✊💯🤝
 
Majinga kabisa,,,, yalishaanza kupiga mahesabu ya fainali ,,,, ! Ooh inter tunawamudu ! ! Yani Martinel ashinde UEFA ? Eti kiwior anyanyue kwapa !

Arteta ni tapeli, mtakuja kustuka too late! Fukuza, leta kocha mzoefu, michezaji ya ovyo ikiongozwa na Odegaard fukuza, captain gani hajitambui hana consistency, hajui kuwapa vijana morali, kwanza kuna tetesi za siku nyingi tu jamaa ni shoga,, ! Sajili WC players , boresha kila penye upungufu, baada ya miaka 2 mtazoa kila aina ya kombe ! Haya spurs yupo fainali huko, ngoja ashinde hakuna rangi mtaacha kuona !
 
Reminder

Huchagui timu. Subconsciously timu inakuchagua and it hits you kwamba you are in love with the club.

Baba yangu ni Liverpool wakati Liverpool inastruggle alikomaa na timu yake. Katika crew yangu ya watu wanne kuna Chelsea, Liverpool na united fan na katika vipindi tofauti kila mmoja alikomaa na timu yake.

Unaweza amka na kusema sifuatilii mechi. Ila huwezi amka ukasema kuanzia leo mimi siyo Simba naanza kushabikia Yanga. Ukiweza kufanya hivi wewe ni plastic fan, na ni ngumu sana plastic fan kua na hoja.
Wachezaji wenu matapeli
Ona wanavyowapa maumivu 😂😂😂
 
Attachments

  • IMG-20201206-WA0062 (1).jpg
    IMG-20201206-WA0062 (1).jpg
    55.9 KB · Views: 11
Kwanza ni uongo.

Rumours ni za mwaka 2021.

Ila kuanzia huo mwaka hadi leo hua unakumbushia kila ukimiss ushiriki wako.

I don't understand kwanini uniquote kuniambia habari za ushoga. Kama unaenjoy just do it ila huna haja ya kunijulisha kua unaenjoy
Umepanic braza, mimi nimekuquote kwa lengo zuri tu la kukuunga mkono kwenye madai yako kua "Arsenyau Mmelaaniwa" labda kosa langu katika kukuunga mkono ni kuonyesha sababu iliyofanya mpaka mkalaanika.
Yote kwa yote nisamehe braza kama nimemekukwaza, ila hio laana ya kufukuana mitaro kwenye vyumba vya kubadilishia nguo itawatafuna milele, kila msimu nyie mtaishia kua wapenzi watazamaji tu.
1746711164572.jpg
 
Umepanic braza, mimi nimekuquote kwa lengo zuri tu la kukuunga mkono kwenye madai yako kua "Arsenyau Mmelaaniwa" labda kosa langu katika kukuunga mkono ni kuonyesha sababu iliyofanya mpaka mkalaanika.
Yote kwa yote nisamehe braza kama nimemekukwaza, ila hio laana ya kufukuana mitaro kwenye vyumba vya mazoezi itawatafuna milele, kila msimu nyie mtaishia kua wapenzi watazamaji tu. View attachment 3328633
Sijapanic. Najaribu kukuonyesha boundaries.

I don't hate what you do. But kindly huna haja ya kuniambia kua unafanya
 
Back
Top Bottom