Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City nini kimemkumba?

Gyokeres anaweza akaenda united sasa
Sio nini kimemkumba, City kakutana na kocha wa Man Utd, kocha mwenye mbinu zote, Unaambiwa Ruben Amorim ana mbinu sio ya kufunga na kubeba makombe tu bali ana mbinu mpaka za kuifanya timu zenye washabiki wenye vidomodomo kama Arsenyau ishuke daraja.

#Make Utd great again
Hio ndio kauli mbinu yake anayokuja nayo Utd, mpaka hapo nyie hamuogopi?
 
Anti-Man U wote walitaka Eric Ten Hug asiondoke Man U ili waendelee kuteseka....


Ila kwa sasa, Anti-Arsenal wote wanataka Arteta aondoke eti kwa performance dip ya muda mfupi

Tunajua... Hakuna shabiki la Man U linataka Arsenal ifanye maamuzi ya kupata raha.

Ni hiviii, Teta bado yupo, na Teta ball mtaendelee kukumbana nalo.
Teta ball burudani kwa wote, hawa hapa mashabiki lialia wa Arsenyau jinsi wanavyofurahia Teta ball
1730875060556.jpg
1730875106629.jpg
1730874843027.jpg
1730874755184.jpg
1730874807234.jpg
1730874905956.jpg
1730874807234.jpg
1730874937739.jpg
Screenshot_20241106-060258.jpg
1730805393770.jpg
 
Mkuu unayafokos makabiri vizuri.
Mwamba Kigi alikua anataka kutuaminisha kua mashabiki wote wa Arsenyau wanamfurahia Tetea na wana imani nae, kupitia Teta ball wanaenda kudominate league kwa miaka 10+ consecutively, akataka kutuaminisha mashabiki wa timu nyingine ndio tuna gubu na wivu kwa kocha la ball, bila hiyana imebidi nimtolee risiti za efd za mashabiki lialia wa Arsenyo waliochoshwa na mambo ya pressing na Overlap mara sijui overload, positional play, minyumbuliko, mikimbio mizuri, dark art pamoja na haramu football halafu wanaishia kumaliza msimu mikono mitupu, misimu yote wao wanabaki kua wapenzi wasindikizaji, halafu wanashangaa Nyumbu wanabutua butua tu lakini mwisho wa msimu wanamaliza kwa furaha ya kunyanyua kwapa mpaka na wao wanatamani wawe kama nyumbu
1730884358679.jpg
 
Teta anaakili sana, anaona vitu tusivyoona mashabiki.


Kwangu mimi Teta bado fundi sana..., amefuta uteja wa Arsenal kwa timu nyingi mbofu mbofu....

Ndo maana hamumpendi
Kweli kabisa Tetea ana akili sana, anauwezo mkubwa wa kuona vitu mashabiki wa Arsenyau wasivyoona ila amekosa tu akili ya kuyaona makombe
1713703836843.jpg
 
Hawa wajamaa itakuwa wanakula sana nyeto
Nini injury za kisenge hivi mara kwa mara
Akipona huyu anakuja huyu, wanataka tukonde kwa mawazo au...
Sasa mtu kwa hiari yako mwenyewe bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu umeamua kushabikia Mateso Fc halafu unataka unenepe ili iweje?
 
Mambo niaje mzee baba, unatukandia Sana mzee
Shwari kabisa mzee baba, sio kuwakandia mkuu, mimi naweka tu kumbukumbu sawa maana binaadamu tumeumbiwa kusahau.
Vipi lakini mambo yanaenda?
Ndugu yako arsenal2004 simuoni kabisa humu au na yeye ameshatupa kijiti na kuamua kukimbilia uhamishoni pamoja na Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi?
 
Shwari kabisa mzee baba, sio kuwakandia mkuu, mimi naweka tu kumbukumbu sawa maana binaadamu tumeumbiwa kusahau.
Vipi lakini mambo yanaenda?
Ndugu yako arsenal2004 simuoni kabisa humu au na yeye ameshatupa kijiti na kuamua kukimbilia uhamishoni pamoja na Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi?
Inaonekana unafurahia Sana kutuma risiti zetu, tukutane mwakani may
 
Inaonekana unafurahia Sana kutuma risiti zetu, tukutane mwakani may
nimecheka mpaka nahisi mbavu zinauma.
Ogopa sana kitu inaitwa teknolojia, yaani hapa ninastock ya zaidi ya 2 terabyte(TB) ya risiti zenu na bado naendelea kukusanya risiti nyingine.
Ila mashabiki wa Arsenyau mnafurahisha sana, siwezi kwenda kulipia 50,000 kutazama Stand-up Comedy wakati humu kuna comedy za bure
 
Back
Top Bottom