Wanawake wanaanzaga Kubeti kwa mtindo huu.Coca nazidi kuwaduwaza watu, na utabiri wangu, ingekua ni betting ningeshazoa mapene mengi.
Jah endelea kuwa upande wangu, niwashangaze zaidi hawa waja. 😂😂😂😂😂
Nimeahidiwa 2M, km utabiri wangu utatimia ktk final, watu wana hasira na mie hatariii.
Woiiiiih.
We kichwani Kuna kopo psg washachanganya watu akili huku🤣🤣🤣🤣Sasa siwezi kusema mlifungwa halafu nikataja mlizofunga.
Labda niseme mlifungana 7 - 6
Mie ni fan lia lia wa futiboli, ila kubet hapana.Wanawake wanaanzaga Kubeti kwa mtindo huu.
Wanaanzaga Ushee Yahaya mwisho wanaanza Mapambano na Harakati za Kubadili karatasi kuwa Hela.
Hao wengine hata nafasi za wazi hawajazipambania kuzipatq ila analaumiwa Saka tuWalikuwa wengi, sasa tumlaumu trossard wakati yeye saka ndio kakosa nafasi ya wazi!??
Imeandikwa Kila mmoja atabeba msalaba wake, kwani kanisani huwa unaenda kupiga selfie 🤳 nini 🤣
Ubingwa haugaiwi JF tena na cocastic.Bingwa ni Inter Milan. Chukua hii nakupa sasa.
Unakua mbishi tena? Haya sawa.Ubingwa haugaiwi JF tena na cocastic.
Fainali ndio itaamua.
Eh aisee acha tu.
Hakipo kokote. PSG walikua hatari on and off the ball
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee wa maneno ya akiba, vipi zile picha zako zilizoanza kuvuja bado zipo tuziweke humu?Flano weka na maneno ya akiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana kulikua kuna jambo moja lazima litokee kati ya haya mawiliLeo kuna jambo moja litatokea kati ya haya mawili
Either Arsenal ashinde au PSG akandwe pale pale kwake
#COYG [emoji1491]View attachment 3327103
Baada ya kukosa vyoteKilichobaki tujadili msimu ujao tu,
What if tukamsajili dembele, merino afundishwe kucheza 6 alafu rice acheze cm
Then tutafute 9 wakueleweka, havertz awe anapokezana na rice au uyo 9.
At the same time nwaner awe intergrated zaid kwenye AM