Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamaa kaongea ukwel mtupu

Shida sio wachezaji wa Arsenal shida ni Mashabiki wanaamini mno kuwa team yao ni team boraπŸ˜ƒπŸ˜ƒkumbe ni version ya Tottenham iliyochangamka
Arse8 na Makolokolo ni mapacha kabisa, wote ni kamdomo wala huwa hawana hata sekunde ya kuheshimu wapinzani wataokutana nao kimchezo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Tuache kidogo πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Ukitaka kujua hawa watu kuna mahali kuna shida. subiri wiki ipite,warudi kudanganyana tena. yaani kama watoto vile.

Watakwambia mafanikio yao wamejitahid wamefika nusu fainali na kumfunga madrid, utawasikia wakikwambia EPL hawajaweza kuchukua kisa marefa wa EPL wanawaonea, ukiwauliza vipi mashindano mengine ambayo hamuonewi mbona hamjachukua?

Ukiwaambia pia Arteta ni tapeli watakukatalia.
 
Comment bora kabisaa hii. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Tetea kiwigi anasema pamoja na kutolewa kwenye michuano ila bado Yeye ana timu Bora
Kweli aliyewaroga ameshakufa na vifaa vyakeπŸ˜†
Eti tetea KIWIGIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu kweli bhana jamaa hana frem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…