Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,041
- 33,691
Huyu jamaa ni mjinga ssna😃😃
Ufaransa pagumu haina budi inawabidi tu waMezan imekataa kupindukaa 😀😀😀,,imepinduka bundukiii dadakeeee
Kwahiyo?Kweli binadamu hawana shukursni.huyo saka si kawafungia goli hapo jamani
Mlikuwa mnatoka na nunge bila Saka😃Kwahiyo?
😂🤣 Mpira hauko hivyo akikosea tunamchana, akipatia atasifiwa, alichokifanya hakijatosha..Mlikuwa mnatoka na nunge bila Saka😃
Huku mvua ni Kali inanyesha tumemuomba meneja wa Bar kasema hakuna shida tunaweza kulala hukuhuku😃Mpira umeisha mrudi nyumbani
Anataka kuamisha magoli.7-6 mkuu context muhimu
😃nah this is too much🤣🤣🤣
Arse8 mje sasa leo muone jinsiPartey ayaikosa mech ya kwanza ya PSG
Arteta aje na midfield ya
Merino Rice Ø
Why?
PSG Wana midfield nzuri sana kwenye possession ila OOP (out of possession)ni wabovu sana
Walipokuja Emirates walituzidi kwenye possession,ila tuliwazidi Physicality na OOP , wakala 2-0
PSG watu wanaona ni timu tishio ila ubovu wao ni ukiwafanyia press wanakuwa ovyo kwenye kukaba ,
Na hiko kitu Mikel anakijua sana ,hata Villa Jana waliwafanyia hivo ,
Sasa kuwamaliza twende na midfield ya
Merino Rice Ø
Hapo Kuna physicality na OOP