Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,240
- 76,773
Kwahiyo 7 siyo nyingi mzee?Zionekane nyingi sana
Kwahiyo 7 siyo nyingi mzee?Zionekane nyingi sana
7 nyingi mkuu.Kwahiyo 7 siyo nyingi mzee?
Yani kuamini asenane wanaweza kutoka na kitu ni tatizo la akili , manjesta yetu inatupa furaha mkuu😁7 nyingi mkuu.
Ila ukionesha ni 7-6 mtizamo unabadilika kidogo
Jana si tushamaliza mkuu🤣
Tot bingwa👀Yani kuamini asenane wanaweza kutoka na kitu ni tatizo la akili , manjesta yetu inatupa furaha mkuu😁
Tunapiga kama mbwa wasokoni kaa kwa kutuliaTot bingwa👀
Wewe ushagongwa nje ndani tulia usitafute faraja Kwa timu zingineHuyu PSG katoa timu 3 za Uingereza. Mojawapo ni Loserfools, mabingwa wa PGMOL, PSG hajaangalia sijui wewe hua hautembei peke yako au ni mshika bunduki ni fimbo tu zimetembea
Nikubali? Au nikuache na maumivu yako? LolTupinge🤙
Walikuwa wengi, sasa tumlaumu trossard wakati yeye saka ndio kakosa nafasi ya wazi!??Khaa😄😆
Mnataka mumvunje miguu Saka wa watu
Kwani mfungaji alikuwa pekeyake?
Nazingua.7 nyingi mkuu.
Ila ukionesha ni 7-6 mtizamo unabadilika kidogo
Jana si tushamaliza mkuu🤣
Bingwa ni Inter Milan. Chukua hii nakupa sasa.Yes.
Inter forward zao zinajua ku score.
Sio wapoteza nafasi kizembe.
Na hii ni advantage waliyonayo.
Kuhusu kukaba inter sioni wakiizuia PSG wasifike golini na kutengeneza nafasi.
Walishindwa kuizuia Barca kucheza sioni pia wakiizuia PSG.
Wanafikika kwa urahisi.
Tatizo la PSG sio wazuri ku score.
Hii inaweza ikawakosti dhidi ya timu inayojua kutumia nafasi kama inter.