Uwezi mdogo 😀😀😀😀 hamna Cha kazi wala nn mkuuHii kasi mngeanza nayo tangu 2nd half mngrkuwa mbali
Michezaji ilikuwa inapoteza muda na mpira mguuni
Haijali hata aggregate
Kiko wap kupinduaaa mezan ufaransa 😀😀😀😀😀Kiko wapiiii😂😂😂😂😂
Huyu alijifanya Mbuyu Twite leoKitambo nishasema
Hakuna timu kubwa inayorusha mipira kama kona
Ni Stellinbosch na nyie ndio mna hizo mamboView attachment 3327352

Na mvuaa Ina nyeshaaaaaaaaaaa kumanishaa warudii wawakumbatiee wake zao 😀😀😀😀Mpira umeisha mrudi nyumbani
Huyu ni hamis77 au ukipenda muite Masingeli.Partey ayaikosa mech ya kwanza ya PSG
Arteta aje na midfield ya
Merino Rice Ø
Why?
PSG Wana midfield nzuri sana kwenye possession ila OOP (out of possession)ni wabovu sana
Walipokuja Emirates walituzidi kwenye possession,ila tuliwazidi Physicality na OOP , wakala 2-0
PSG watu wanaona ni timu tishio ila ubovu wao ni ukiwafanyia press wanakuwa ovyo kwenye kukaba ,
Na hiko kitu Mikel anakijua sana ,hata Villa Jana waliwafanyia hivo ,
Sasa kuwamaliza twende na midfield ya
Merino Rice Ø
Hapo Kuna physicality na OOP
Walirelax hawa wajinga utadhani wao ndio wanaongozaUwezi mdogo 😀😀😀😀 hamna Cha kazi wala nn mkuu
Eti, Defence yetu haitowaruhusuPSG hata kwenye kushambulia wana rely zaidi kwenye indivudual techinical skills ya washambuliaji wao kuliko tactical fluidity na cordination, ndio maana wanafika golini mara nyingi sana halafu mashambulizi yanakuwa butu, mpaka akina Kvaritshka wapate angle nzuri ya kupiga mpira ndoa wanafunga.
Kwa defense yetu ilivyo hicho kitu hawatakiruhusu.






Tokaa enziii na enziiii wanangoja mximu mpya tu na mwisho wa msimu wanatoka kapaa😀😀😀😀
Kabla ya kurudi kwanza wakapate selfie kwenye Eifel Tower.Mpira umeisha mrudi nyumbani
😀😀😀😀 Uwezo mdogo kwenyee kazi za kiumeeeWalirelax hawa wajinga utadhani wao ndio wanaongoza
Mezan imekataa kupindukaa 😀😀😀,,imepinduka bundukiii dadakeeeeKabla ya kurudi kwanza wakapate selfie kwenye Eifel Tower.
Wasikubali kukosa vyote.View attachment 3327411