Jamaa anatisha sana,na namkubali.Gooners.
Tupo na vijana wangu wote ,sisi tunajikongoja taratibu.Tunasubiri December jirani atelezeWakuu vipi mambo? Siwaoni jamaa zangu akina ''Mzee wa chuki binafsi'' aka Peas of ant na maswaiba wenzake kunani?
Manda, Belo, Mfarisayo nae kaenda kwa wasamaria wema khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee mambo yote kesho ... .... ....
BREAKING NEWS:SKYSPORTS.reporting that Robin van Persie has a back Injury after having carry the whole Arsenal team on his own.
BREAKING NEWS:SKYSPORTS.reporting that Robin van Persie has a back Injury after having carry the whole Arsenal team on his own.
Wacha longo longo...Hiyo BBC ya Tanzania nini??
jamani huyu naniiii? kama namfananisha vileee
![]()
dah!! Kumbe jamaa alikuwa mnazi tokea cku nyingi!!
Naona muda unakaribia kumuangalia rvp,vp kama m2 anajua kikoc cha leo kimekaaje anijuze.