Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

yeh man V.persie kucheza gooners inaonekana ilikuwa ni ndoto yake ya utotoni

Ushabiki wa kitoto bwana? Kwa hiyo Arsenal kwako ni RVP. He's just a paid player and employee wa timu. He has come, and surely he'll go, but Arsenal will stand still...
 
Huyu Arteta naye katoa mchango mzuri sana kwa arsenal toja achukuliewe . Alfu nimesoma sehemu alikubali mshahara wake kupunguzwa arsena wamchukue
 
Game imeanza, net yangu iko slow, mtanisamehe updates zikichelewa!
 
Ramsey shoots wide... What a communication in Arsenal attack line...
 
Ramsey alitaka kufunga goli Posta na Ubungo... Vijana wameimprove kwenye ukabaji...
 
Dah inatakiwa twende half time na kagoli japo kamoja lakini naona jamaa nao wameanza kutukosa kosa. .Schezny kaokoa
 
Katavi unaishi wapi mkuu? Haya malalamiko si mageni...
Kuhusu updates mantakhof

Mechi imeanza tu wakachukua umeme mpaka sasa, sijui ni hujuma maana kila wanapocheza arsenal umeme unakuwa wa mashaka.
 
Ushabiki wa kitoto bwana? Kwa hiyo Arsenal kwako ni RVP. He's just a paid player and employee wa timu. He has come, and surely he'll go, but Arsenal will stand still...

naona mkuu umedandia train kwa mbele bila kunielewa ...
anyways tutafika tu ...
 
Back
Top Bottom