Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dah even though gervinho anakosa mabao lakini kutokuwepo kwake naona kama kuna kitu tuna miss ... ila bao lipo hapa
 
Mambo bado wakuu....hii game mnaweza kushinda kama mkifanya changes mapema
 
Duh Wenger kaenda kumtoa Mertesecker? Simchezo ,naona amesaidia sana kwenye mipira ya set piece sasa sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom