Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Olympiacos wamewafunga marseille.

Mechi ya mwisho marseille na dortmund. Marseille lazima watammind Wenger kwenye mambo ya ku-rotate lol
 
usiku mwema wakuu ....

gooners together we stand

:biggrin:Tumetoa tena sumu kali mno kwa wajerumani Viper, Greece tunaenda na timu ya Carling Cup, Good nite as well Arsenal!

Together we will always stand Viper!
 
hawa sikupenda wapate hata cha machozi!ila poa ndo kabumbu 3 muhimu kibindoni ado ado hatua zingine!usiku mwema wajanja wa gunners!
 
Alex Song leo ni man of the match kwangu mimi na RVP kama kawaida yake yeye na wavu ni kama maji ya mto na kufuata mkondo.
Confidence inazidi kuongezeka mechi hadi mechi.
Tunakwenda last 16 katika Champions league kwa miaka 12 mfululizo, sio mchezo.
Together we stand.
 
Olympiacos wamewafunga marseille.

Mechi ya mwisho marseille na dortmund. Marseille lazima watammind Wenger kwenye mambo ya ku-rotate lol

hahahaha AW itabidi awapange kina frimpong na Diaby iwe mechi ya kuongeza staticis zaao
 
Have fun in Europa League Nasri
lol.
Na kiwango chake chenyewe kimeshuka mno ghafla, lakini hajali hilo yeye anajali bank balance hata akisugua benchi poa. Huku kwetu alikuwa akicheza na uhuru na spirit huku kwetu ni tofauti na kule kwa Mancini, kule ni kama jeshini tu. Namtabiria season 2 ataanza kutafuta kilabu kipya kama Adebayor.
 
Wakuu vipi mambo? Siwaoni jamaa zangu akina ''Mzee wa chuki binafsi'' aka Peas of ant na maswaiba wenzake kunani?

Manda, Belo, Mfarisayo nae kaenda kwa wasamaria wema khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee mambo yote kesho ... .... ....
 
article-2065341-0EEBB6B400000578-455_634x485.jpg

 
Huyu R.V.P anawafanya watu wa R.I.P,kwa kweli huyu bwana wasipomuumiza/asipoumia tu kwa msimu mzima,record atakayoweka naona mpaka aibu kusema.Huyu january tutamtafutia striker mwenza ili angalau awe anapumzika.
 
Huyu R.V.P anawafanya watu wa R.I.P,kwa kweli huyu bwana wasipomuumiza/asipoumia tu kwa msimu mzima,record atakayoweka naona mpaka aibu kusema.Huyu january tutamtafutia striker mwenza ili angalau awe anapumzika.
Jamaa anatisha sana,na namkubali.Gooners.
 
BREAKING NEWS:SKYSPORTS.reporting that Robin van Persie has a back Injury after having carry the whole Arsenal team on his own.
 
hata msemeje!! Arsenal kwa sasa bado ni tishio!!
yaani wewe tunaipenda pamoja arsenal duuu hongera hapa ndo umechagua kitu kizuri si magamba? Bora hata ungekuwa cuf ila magamba???? Mmmh!
 
Back
Top Bottom