Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Refa vipi? Ramsey kapeleka mpira sehemu iliotokea rafu yeye anampa kadi.
Alex Song tumemuona tangu akiwa teenager na sasa anafanya kazi kubwa pale midfield. Nayo ni kulinda back four. Well done.
yeye mwenyewe hajikubali ndo maana alikuwa anasisitiza sana prof aongeze watu ikiwemo namba yake.....Huyu Djourou simkubali kabisa jamaa kwa mgoko noma.
hawana maajabu wale!naona kwa timu za uingereza jana na leo nani kidume!!!!!!!!arsenal!Chelsea huko kimenuka. Wako nyuma 2-1
valencia watamaliza with confidence kwa hizi 7 alizoshinda leo zitamjenga sana!chelsea naona kama mama jane bye bye!Chelsea anaenda kucheza na Valencia game ya mwisho ,wote wanagombea kupita kazi hipo.
usiku mwema wakuu ....
gooners together we stand