Mwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakanineno context sio gumu kulielewa mkuu
Mwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakanineno context sio gumu kulielewa mkuu
Akikosa dube na ateba wachambuzi utawakoma
huu ndo uungwana mkuu mwakani turudi na kasiMwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakani
Au sio Wazee wa next season kama series za Netflix.Mwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakani
Bournemouth ni team ndogo halafu waliwafunga goli la mkono ambalo hata VAR ilishindwa kuliona (ghost goal)Kwa hiyo Bournemouth siyo timu kubwa? Walitufunga kwa style hiyo juzi juzi tu hapa 😃😃
PSG iliyofungwa 3 na Villa ni PSG ambayo iliomba isicheze mechi yoyote kwa week nzima ili ijiandae dhidi ya mechi na Villa.
Hii ni PSG ambayo inaaminiwa kumtoa Arsenal![]()









Next season club. We will be back next season.Waliofungwa 7 wanakwambia 'They will be back stronger'
Sisi tumefungwa 3 eti hatuwezi ku-be back stronger
Hawa mashabiki wa arsenal watafanya vinywaji vikali kama kvant zipigwe marufuku we mtu gani anaejitambua anakosa kuona tu kuwa wao mwisho wao ulifikia hapo yule hamiss 77 masingeli hatumuoni humu alisha jua walipiga bomu mochwari pale kwa madrid ila hawa wakajiona kama washa maliza kila kituHao watu sio wa kuwapa airtime. Ni hamnazo kichwani
Mkuu ulijipangia mpaka fainaliFor the sake of EPL's dignity, we should do everything possible to eliminate PSG, not even by chance we should allow those oil money spoiled brats to eliminate us.
Itakuwa ni aibu kubwa sana kwa EPL Liverpool, Aston Villa na Arsenal kutolewa na timu inayocheza ligi ya wakulima..
Imagine jamaa wameshatangaza ubingwa bado mechi 6 na hawajapoteza game yoyote kwenye league 1 mpaka sasa hili kuonesha ligi yao ni ya wakulima..
Naamini wachezaji wetu watatunza heshima ya EPL
Yeah of course it's..
Arsenal VS Inter in Munich, Allianz Arena 31/O5/2025... save the date
PSG iliyofungwa 3 na Villa ni PSG ambayo iliomba isicheze mechi yoyote kwa week nzima ili ijiandae dhidi ya mechi na Villa.
Hii ni PSG ambayo inaaminiwa kumtoa Arsenal 😅😅😅
ahaha wee jamaa una dhambi sana unawatonesha, pale pale wanapo ugulia maumivuKazi ya Partey leo ilikuwa ni kufuta mpira na kurusha
Sasa Bournemouth ina ukubwa gani ofsa?Kwa hiyo Bournemouth siyo timu kubwa? Walitufunga kwa style hiyo juzi juzi tu hapa 😃😃