HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Angefunga pale ningeanza kuona comeback iko nje nje.Huyu saka, mama la mama yake.. ye na nyavu 😂🤣
Angefunga pale ningeanza kuona comeback iko nje nje.Huyu saka, mama la mama yake.. ye na nyavu 😂🤣
Kabisa, psg wangekuwa kwenye presha kubwa, ila ndio kakosa.Angefunga pale ningeanza kuona comeback iko nje nje.
Ulikua wapi mwaneturage and anger 😁
Huyu saka, mama la mama yake.. ye na nyavu 😂🤣
Arteta nje anagombana na marefa juu ya muda utadhani aliombwa asisajili
Ndani Saka anakosa goli ye na nyavu
Arteta amefika level ya mwisho ya uwezo wake, timu inaanza kushuka kwa kasiArteta nje anagombana na marefa juu ya muda utadhani aliombwa asisajili
Ndani Saka anakosa goli ye na nyavu
mbishe za hapa na pale shukran asenyo 2-1🤩Ulikua wapi mwanetu