Ila kweli katika hizi mechi mbili, PSG wamestahili kushinda na kufika fainali. Hongera kwao.
7-6 mkuu context muhimuWaliofungwa 7 wanakwambia 'They will be back stronger'
Sisi tumefungwa 3 eti hatuwezi ku-be back stronger
Huo ndio mpango uliokuwepo ila michezo si unajuwa inavokuwaga?Vipi
Si mlisema mnapindua meza😂
Kwahiyo inakua siyo 7?7-6 mkuu context muhimu
Wale wajinga walinikera ile time.Ila scars Jana ulinichekesha Sana. Baada ya goli la Raphina ukaamua kwenda kulala. Unaamka saa Tatu asubuhi kuchek notification unashangaa inter 4-3😆😆
Walimlilia utadhani anakunya moto. Leo wamelombwa na yeyeHaya na partey wenu kiko wapi
Aston Villa SC alikuwa bora sana sema tu PSG SC alishamaliza mechi kule kule home kwake Ufaransa.Kweli Madrid walikuwa wabovu, sijui tuliwatoaje