Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,935
- 15,655
neno context sio gumu kulielewa mkuuKwahiyo inakua siyo 7?
neno context sio gumu kulielewa mkuuKwahiyo inakua siyo 7?
LOsers FC 😆Huo ndio mpango uliokuwepo ila michezo si unajuwa inavokuwaga?
Merino ni beki?Tungepata hata forward wa
u-23 tu kuliko kuanza bila foward
Bora kaondoka na Gundu lakeMbape kapishana na gari la mshahara.
YNWAKama kuna makocha matapeli basi huyu ni tapeli mbobezi.
Misimu 5 £ 800ml spent hakuna cha UCL wala EPL.
MASTER ARNE SLOT Miezi 9 tuuuu £ 12.5ml spent na EPL juu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3327354
Hao watu sio wa kuwapa airtime. Ni hamnazo kichwaniSi tulisema humu currently psg wapo inform kuliko arsenal ila false hoppers humu wakawa wanaitangaza fainali yao na inter milan na kwenda mbali zaidi kusema washalibeba kombe hilo
Kitambo nishasema
Hakuna timu kubwa inayorusha mipira kama kona
Ni Stellinbosch na nyie ndio mna hizo mamboView attachment 3327352
Mwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakanineno context sio gumu kulielewa mkuu
Akikosa dube na ateba wachambuzi utawakoma
huu ndo uungwana mkuu mwakani turudi na kasiMwanetu, una maumivu yako nina yangu. Tukutane CL mwakani