Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

vipi wadau wa washkia bunduki?

hii game si tukitoa draw si tunakuwa tumepita?
 
bado mapema kukata tamaa ... tuangalie 2nd half mambo yatakuwaje
 
:eyebrows:Aise BD sio wabaya kabisa, game ngumu mno, itabidi vijana wafanye kazi ya kutosha.

Ila ushindi upo, kule mbele Gervinho naona bure kabisa, labda tuweke striker mwingine na winger,

Hata sijui, anyway tusubirie kipindi cha pili.
 
Kuna danger kubwa kama Arsenal itashindwa kuifunga BD leo. Ila mpaka sasa Marseille na Olympiakos map ni 0-0
 
ALLLLLLLLLLLEX soooooooong Dah aiseee kampa pande zuri Van parsie bonge la bao.
 
Kuna danger kubwa kama Arsenal itashindwa kuifunga BD leo. Ila mpaka sasa Marseille na Olympiakos map ni 0-0
 
Sasa tunahitaji goli la pili. Arsenal walitumia muda mwingi wakti wa summer kufanyia mazoezi namna ya kuizunguka back four na sasa wanafanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
 
Naona katika kushangilia nikatokea nime chapia kwene kutype.

Nilikua naandika Mambo ya Songggggg .... hile move kiboko.

Timu sasa inacheza kwa kuelewana, Wenger style.
 
Back
Top Bottom