3-Star General
Member
- Feb 21, 2024
- 72
- 157
Hii mechi ya 6 kutoka point 58 bado tunapambana kuitafuta kwa tochi pt 70. Naona tukimaliza no 4 na hiyo UCL sioni tukitoboa
Starting with strong 11
Uliota na hii comeback ya bonamausi sahv?Déjà vu...
Miezi michache nyuma niliota kitu ambacho jana nilikishuhudia...ile drive ya Lewis-Skelly aliyofanya first half na kumpa Martinelli through pass halafu shot ya Martinelli ikapanguliwa na kipa. Nikawaambia wenzangu 'hakyanani hiki kitu nilikiona ndotoni miezi imepita na tulikuwa tumekaa wote hapa hapa tunaangalia hii mechi...'.
Jamaa wakanicheka na kuniuliza matokeo yatakuwaje. Nikawaambia sikuota mechi nzima bali hiko kipande tu.
Hata akiwapumzisha, sioni timu ya ushindiArteta mjinga anaacha kutunza wachezaji ana game ngumu na ya UEFA et anakomaa huku wakati bingwa tayari
Huu unabii bado kidogo tu unatimia.😄Nakuhakikishia Man City anamaliza juu Arsenal.
Na yamekaza fuvu kabisa na nyuso , haya majamaa kwa kujazana ujinga haya 😅😅😅😅😅😅😅,eti yanajiita bingwa wa epl na UEFA msimu huuHaya makenge yalikuwa yanataka ubingwa