Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Déjà vu...

Miezi michache nyuma niliota kitu ambacho jana nilikishuhudia...ile drive ya Lewis-Skelly aliyofanya first half na kumpa Martinelli through pass halafu shot ya Martinelli ikapanguliwa na kipa. Nikawaambia wenzangu 'hakyanani hiki kitu nilikiona ndotoni miezi imepita na tulikuwa tumekaa wote hapa hapa tunaangalia hii mechi...'.

Jamaa wakanicheka na kuniuliza matokeo yatakuwaje. Nikawaambia sikuota mechi nzima bali hiko kipande tu.
 
Ramos na barcola kukosa zile nafasi za wazi wameniudhi sana, marehemu jana alikua anatakiwa kuzikwa palepele kwao, mambo ya kutangatanga na jeneza mpaka Ufaransa ni kumchosha tu marehemu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Déjà vu...

Miezi michache nyuma niliota kitu ambacho jana nilikishuhudia...ile drive ya Lewis-Skelly aliyofanya first half na kumpa Martinelli through pass halafu shot ya Martinelli ikapanguliwa na kipa. Nikawaambia wenzangu 'hakyanani hiki kitu nilikiona ndotoni miezi imepita na tulikuwa tumekaa wote hapa hapa tunaangalia hii mechi...'.

Jamaa wakanicheka na kuniuliza matokeo yatakuwaje. Nikawaambia sikuota mechi nzima bali hiko kipande tu.
Mkuu hii hali hara mimi huwa inanitokea mara kwa mara aisee🤔
 
Arsenal wenyewe chagueni wa kujutana nae hapa leo kma mtapita maaana sioni hata kma mnamuweza mmoja wapo hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom