HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,630
- 7,025
Partey kucheza RB nafikiri ni kwa sababu kulikuwa hakuna mwingine wa kuwekwa hapo katika hizo mechi. Kama Timber alikuwa fit basi Saliba au Gabriel hawapo hivyo Timber akakaa CB, na kina White na Tomiyasu hawakuwepo...
Nafikiri Arteta alikuwa analazimika tu kumchezesha hapo maana majeruhi walikuwa wengi.
