Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu wenu unatamatika jumatano ijayo pindi mtakapotolewa rasmi na PSG.
Upande wa pili ni aidha mshabikie Nyumbu ( washuka daraja) au Spurs (bitter rivals) kwenye kombe la Europa.
Kwa scenario kama hizi ndio maana matukio ya mashabiki wa asrenal kujinyonga yamekuwa kawaida sana.
 
Mkishinda Europa mnaingia UCL kwa kuchukua nafasi ya yule aliyemaliza katika nafasi ya 5 kwenye ligi? Ikiwa hivyo pambano la ligi sasa limekuwa kuwania top 4, nafasi 3 zikigombewa na timu 6. Naona kama ligi inaisha kiushindani japo Liver washakuwa mabingwa...
 
Traditional big six

Liverpool-Epl champion

Man UTD/spurs- Europa league champion to be

Man City- FA cup champions to be

Chelsea- conference league champions to be

(Bonus, Newcastle- carabao cup winner)

Arsenal- we eliminate Real Madrid in UCL, defeating them on both legs.

And wait! We beat City 5 goals do you remember that?
 
Unaambiwa achievement ya hiki kitimu baada ya phase zote hizo ni kumfunga city goli 5.

Hatuna muda na makombe yenu sisi, tutajibumbia yetu ya udongo.
 
Unaambiwa achievement ya hiki kitimu baada ya phase zote hizo ni kumfunga city goli 5.

Hatuna muda na makombe yenu sisi, tutajibumbia yetu ya udongo.
We jamaa 😀😀😀
Boss wenu akiachwa tu na mke kidogo anashindwa kushinda . Sasa mke amerudi ndiyo anashinda. Sasa ndiyo tumeshtuka kuwa kumbe mwenendo wa timu yenu unategemea wife wa boss kaamkaje. Sasa timu za EPL zinaongeza mbinu moja nyingine ya kuwakabili. Mpango mzima ni kumvuruga tu kidogo wife wa boss, kwisha habari yenu.
 
Unaambiwa achievement ya hiki kitimu baada ya phase zote hizo ni kumfunga city goli 5.

Hatuna muda na makombe yenu sisi, tutajibumbia yetu ya udongo.
Arsenyo msimu huu wamebeba makombe mawili.
- Kombe la kwanza ni kumfunga City goli 5 (hapa misukule wanakwambia hii ni zaidi ya kubeba Epl)

- Kombe lao la pili ni kumfunga Madrid nje ndani ( Hapa misukule inadai kua hii ni zaidi ya kubeba Uefa)

Hakika ndugu zetu Arsenyau msimu huu ulikua ni zaidi ya mafanikio kwenu, Masingeli hapa anasema msimu huu Tetea na Arsenyau yake wamekua overachieved, maana malengo yao Epl ilikua ni top 4 sasa kushika nafasi ya 2 imekua kama bonus, na upande wa Uefa kufika Quarter-finals imekua ni surprise kubwa sana kwao achilia mbali kumpiga nje ndani Madrid.

Kwa mafanikio hayo chawa za Masingeli kina mkorea na arsenal2004 wanadai kwa sasa Tetea ndio kocha bora wa dunia, anaebisha apimwe akili.
1740399219236.jpg
 
Arsenyo msimu huu wamebeba makombe mawili.
- Kombe la kwanza ni kumfunga City goli 5 (hapa misukule wanakwambia hii ni zaidi ya kubeba Epl)

- Kombe lao la pili ni kumfunga Madrid nje ndani ( Hapa misukule inadai kua hii ni zaidi ya kubeba Uefa)

Hakika ndugu zetu Arsenyau msimu huu ulikua ni zaidi ya mafanikio kwenu, Masingeli hapa anasema msimu huu Tetea na Arsenyau yake wamekua overachieved, maana malengo yao Epl ilikua ni top 4 sasa kushika nafasi ya 2 imekua kama bonus, na upande wa Uefa kufika Quarter-finals imekua ni surprise kubwa sana kwao achilia mbali kumpiga nje ndani Madrid.

Kwa mafanikio hayo chawa za Masingeli kina mkorea na arsenal2004 wanadai kwa sasa Tetea ndio kocha bora wa dunia, anaebisha apimwe akili. View attachment 3323528
Psg anakufa palepale kwake, j5 sio mbali
 
Nilikua nacheki mechi ya RB na Bayern.

Bayern akishinda anakua kachukua kombe.

RB wakaanza kuongoza 2. Bayern karudisha.

Dakika ya 80+ Bayern anapata goli la tatu.

Zinaongezwa dakika nne.

Kane anaonekana kasimama anajiandaa kushangilia.

Dakika ya 93 na sekunde 48 RB wanarudisha goli.

Kane is down. Watangazaji can't wait. And this is the beauty of football
 
Back
Top Bottom