Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwana katupia Tena
FB_IMG_17463834588912773.jpg
 
Liver wanampoteza Trent

Arsenal tunahusishwa na Gittens.
 
Visichana vyetu kusagana kumevifanya vipotee kwenye mpira. Sasa hivi vinafungwa na kila mtu.
Arsenal ndio timu inaongoza kwenye ligi ya uingereza kwa kuwa na wasagaji wengi
 
Ndiyo tunaambiana bahati ina mchango kwenye tournaments.

Yaani kwenye ligi Arsenal imepigwa, Spurs imesuluhu na Nyumbu kafa ila mpaka sasa mathematically Nyumbu ana chance ya kuchukua kombe.

Nimeona online wameraise ishu moja hivi kwamba once Arsenal tulimaliza nje ya top four na tukashinda FA ila aliyemaliza ndani ya top four akasema kafanikiwa kuliko Arsenal.

As of now, Arsenal anaweza kumaliza ndani ya top four ila spurs au nyumbu akachukua trophy. Mashabiki wa hizi timu mbili wanasema kama watachukua trophy na Arsenal akamaliza ndani ya top four ila asichukue CL basi Arsenal atakua na msimu mbovu kuliko ambaye atachukua Europa.

Kwanza nataka niseme kwamba tayari nyumbu msimu wa juzi walichukua trophy huku Arsenal tukiwa wa pili na wakasema wana msimu successful kuliko tuliomaliza wa pili. Kwa msimu ule hata mimi nikaona nyumbu hawajielewi. Coz ile trophy kwa Arsenal ni nyumbani.

But this time around hawa watu mmoja wao ana chance ya kutembea na Europa cup na utakutana naye CL. Yaani anamaliza nje ya top ila unakutana naye CL huku ana kombe la Ulaya. Na unahisi umefanya poa kumzidi? How?

Kwa kile kikombe cha mwanzo niliwaona miyeyusho, but kwa sasa kwenye Europa yeyote kati ya spurs au nyumbu akiondoka na Europa anakua amefanya successful campaign kuliko Arsenal.

Hii ni kutokana na hadhi ya trophy yenyewe. Swala la wakija watakua mnazi wa uwani hilo ni juu yao ila ni wazi watakua wamefanya poa kutuzidi
Europa haina hadhi iliyokua nayo zamani ambapo vigongo vilikua vinashuka kutoka UCL kuingia EL
 
Inter kakaza msuli mpaka half time inakata Barca kapiga on target moja.

Sasa Barca wakirudi wataanza kushoot nje ya box
 
Inter na barca wote nyuma wapo wazi, na wote wanaombea psg apite ili fainal iwe nyepesi
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho tunaruhusu goal tatu ndani ya mchezo mmoja

Hii uefa yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom