Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaanza circle tena.

Mwanzo ilikua Madrid atawatoa. Akafa 3.

Ikaahidiwa comeback for a week.

Madrid kafa tena.

Wameanza ujinga wa kusema PSG atatukomesha.

These fools never learn
 
For the sake of EPL's dignity, we should do everything possible to eliminate PSG, not even by chance we should allow those oil money spoiled brats to eliminate us.

Itakuwa ni aibu kubwa sana kwa EPL Liverpool, Aston Villa na Arsenal kutolewa na timu inayocheza ligi ya wakulima..

Imagine jamaa wameshatangaza ubingwa bado mechi 6 na hawajapoteza game yoyote kwenye league 1 mpaka sasa hili kuonesha ligi yao ni ya wakulima..

Naamini wachezaji wetu watatunza heshima ya EPL

Yeah of course it's..

Arsenal VS Inter in Munich, Allianz Arena 31/O5/2025... save the date
Dah, Aisee
 
Nimechukua EPL tayari lakini bado sijaona raha ya huu ubingwa bado.........PLEASE PLEASE PSG ni muda wa kumaliza kazi na kelele za hawa wajinga pale PARC DES PRINCES.

The rest of the world tuna wategemea sana
FB_IMG_17459995099315539.jpeg
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kufungwa chuma moja ,Enrique is far above Kwa Arteta , technically yupo mbele ya muda kiufupi arsenal akipata goli Psg wanauwezo wa kurudisha kila goli arsenal analoweza kufunga ni wazuri kutengeneza nafasi na fluidity Yao ni unexplainable,niliwabetia arsenal ushindi ila master class display from Psg imenifanya ninyanyue mikono ,pacho &macquihnos bravo,
 
Kwahiyo tufute goli kisa partey hakuwepo kwahiyo mlicheza pungufu hamkuwa 11 hahaha watu wameshachanganyikiwa hukuuu🤣🤣🤣🤣
Kwa uchambuzi wao humu kuhusu uwepo wa partey generally wao basi tuwape goli lao moja 1-1 kwaio kule wanaenda kuanza full mkoko na partey wao kati ...hapo hamna psg hata mmoja ataweza kupitisha mpira na mpira utakuwa unapigwa kwenda lango la psg dakika 90 zote na wao arsenal kutoka na ushindi

unajua hawa jamaa nashindwaga kuwaelewa sijui ni mapenzi yamewajaa sana

maana ukiangalia timu kama Liverpool yenye Quality Cm na Dm ya maclister na Gavernech walishindwa ku opt kitu chochote kule paris wao wanamuona partey kama mkombozi wao

na wakati wanajua advantage ya mtu akiwa nyumban hawawezi kujiachia sana maana watapewa aibu kubwa lazima mcheze kwa taadhari sababu unakutana na wajomba wa wili
hawa Vitihna na ruiz hawa kwa midfielder wa sasa hivi quality yao ni yakina dejong na pedri kwaio swala la midfield haitakuwa sababu kubwa ukizingatia partey huyo huyo alikuwepo bernabeu na mka dominatiwa vizur na wagonjwa wale ila safu yao ya ulinzi ilikuwa mbovu wakaishia kupiga cross tu

jee wanafikiri psg ni timu ya kupiga piga cross wakiwa Nyumbani nooo hao wana pita hapo hapo kati na partey wao akiwepo
 
Kwa uchambuzi wao humu kuhusu uwepo wa partey general wao basi tuwape goli lao moja 1-1 kwaio kule wanaenda kuanza full mkoko na partey wao na kati hapo hamna psg hata mmoja ataweza kupita ya mpira utakuwa unapigwa kwenda lango la psg dakika 90 zote na wao kutoka na ushindi

unajua hawa jamaa nashindwaga kuwaelewa sijui ni mapenzi yamewajaa sana maana ukiangalia timu kama Liverpool yenye Quality Cm na Dm ya maclister na Gavernech walishindwa ku opt kitu chochote kule paris wao wanamuona partey kama mkombozi wao na wakati wanajua kwa upande wa mtu akiwa nyumban hamuwez jiachia sana mtapewa aibu kubwa lazima mcheze kwa taadhari maana unakutana na wajomba wa wili hawa Vitihna na ruiz hawa kwa midfielder wa sasa hivi quality yao ni yakina dejong na pedri kwaio swala la midfield haitakuwa sababu kubwa ukizingatia partey huyo huyo alikuwepo bernabeu na mka dominatiwa vizur na wagonjwa wale ila safu yao ya ulinzi ilikuwa mbovu wakaishia kupiga cross tu jee wanafikiri psg ni timu ya kupiga piga cross wakiwa Nyumbani nooo hao wana pita hapo hapo kati na partey wao akiwepo
Kwa sasa hakuna utatu uliokamilika wa team yoyote kama hawa Vitihna shimoni ,Ruiz kishoto ,na Neves kulia hawa jamaa wanakupa Energy ,top passing Ability,wana scan sana matukio ,technical awareness ya Hali ya juu ,labda siku Yao ikiwa mbaya utawazima kama game ya Astonvilla Unai aliwapatia akawa shut down
 
Back
Top Bottom