Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,819
- 9,252
Timu ya wasindikizaji.
Mkuu hii hali hara mimi huwa inanitokea mara kwa mara aisee🤔
Labda ni mambo ya relativity (hata siijui vizuri hii theory).Labda inawezekana kama tumeshaishi maisha tunayoyaona sasa hivi ila hatukumbuki tu na ndoto ni njia tu ya kutukumbusha ya mbele yajayo. Imagine kama miaka 20 mbele huko tayari ishatokea sema hatukumbuki tu...
Itapendeza sana ka Arsenal tayari tushabeba kombe halafu hatukumbuki tu ya mbele na tunajistress tu bure hapa.
Mkuu hii hali hara mimi huwa inanitokea mara kwa mara aisee🤔
Hawana mpira wa kunifunga hawa.
Dharau hizi 😃😃😃wonderkid wetu waridi mzize bukayo si tushakubaliana ni world class playerYamal yupo on fire, saka inabidi ajifunze kwa huyu dogo[emoji91]
Mpira wa Italy ndo upo hivi...Hawana mpira wa kunifunga hawa.
Kwa mpira wa kutegemea upate kona ndo ufunge goli?
Tusimalize maneno. Wiki ijayo mnaanza nyinyi, kila mmoja atapita kwa pilatoHawana mpira wa kunifunga hawa.
Kwa mpira wa kutegemea upate kona ndo ufunge goli?
Hehehe mi sina nenoHawana mpira wa kunifunga hawa.
Kwa mpira wa kutegemea upate kona ndo ufunge goli?
We ni kenge4 games
PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2
Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?
Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.
Three big chances, na zote wakamiss.
Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.
I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.
Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.
Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.
Tukutane tena
Ukwel anaujuaTusimalize maneno. Wiki ijayo mnaanza nyinyi, kila mmoja atapita kwa pilato
We pimbi unatokea mtaa gani? Nisijejisumbua kukujibu kumbe shabiki la cityWe ni kenge
Huwezi kuwa na neno.Hehehe mi sina neno
We pimbi unatokea mtaa gani? Nisijejisumbua kukujibu kumbe shabiki la city
Ah kumbe Loserfools fan. Sasa mbona unakasirika wakati nimeandika ukweli au wewe ulipata goli tatu kama Villa?