Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,246
Mkuu sio powa Mimi huwa nalia Kabisa aisee 😀 😀😃😃Hiyo ndio raha ya UEFA🤣...mimi nakumbuka fainali ya 2005 Liverpool anarudisha goli 3 dhidi ya Milan halafu wanabeba kombe ile mechi aisee nusu nizimie nilishangaa nasikia maumivu makali kifuani halafu kama hewa inakata nashindwa kuongea. Nakumbuka nilifakamia konyagi kama sina akili nzuri kupunguza maumivu lakini wapi ....mpaka leo sijawahi kuisahau hiyo game
Mie match ambazo sitazisahau ni hii ya citizens kutolewa semi final na Madrid.Hiyo ndio raha ya UEFA🤣...mimi nakumbuka fainali ya 2005 Liverpool anarudisha goli 3 dhidi ya Milan halafu wanabeba kombe ile mechi aisee nusu nizimie nilishangaa nasikia maumivu makali kifuani halafu kama hewa inakata nashindwa kuongea. Nakumbuka nilifakamia konyagi kama sina akili nzuri kupunguza maumivu lakini wapi ....mpaka leo sijawahi kuisahau hiyo game
Shida ya Arsenal ni kwamba hata huo ukwapa wa kunyanyulia kombe hawana, achilia mbali kombe lenyewe.Mmh
Kwapa lipi?
Bora wewe hukujipa matumaini makubwa.Mimi nilisharidhika na kufika nusu fainali tu yaani. Ikitokea tumetolewa sitalaumu na ikitokea tumevuka nitafurahi tu.
Mpinzani nae atafanya hivyohivyoSasa tusianze mikwara ya remontada kama Madrid.
Tuangalie tulipokosea na tujifunze kucapitalize mistakes za mpinzani.
Kama masihara ndo inakutoa hivyo.PSG iliyofungwa 3 na Villa ni PSG ambayo iliomba isicheze mechi yoyote kwa week nzima ili ijiandae dhidi ya mechi na Villa.
Hii ni PSG ambayo inaaminiwa kumtoa Arsenal 😅😅😅
Alidhani na humo atapata mafreekick ayapige kama anacheza PS 2Wali Hajapata free kick ili apige kama alivyofanya dhidi ya Madrid? 😎
We arsenal wastaarabu ukienda kwao wanakupa tu.Mashabik wa arsenal mbona hawatak ku reply kweny uzi wao pendwa
Hiyo ndio raha ya mpira...ndugu zetu wa Aseno naona hali si hali thread imekwama😃Mie match ambazo sitazisahau ni hii ya citizens kutolewa semi final na Madrid.
Afu Simba kutolewa na wydad kwa mikwaju ya penalt ktk quarter final CAFCL, chama na Kapombe walikosa, nililia ile siku hatarii.
Hizi game zita zisahau maishani. Lol
Mtu akikusoma anaweza kujua uko serious kweli.Partey ayaikosa mech ya kwanza ya PSG
Arteta aje na midfield ya
Merino Rice Ø
Why?
PSG Wana midfield nzuri sana kwenye possession ila OOP (out of possession)ni wabovu sana
Walipokuja Emirates walituzidi kwenye possession,ila tuliwazidi Physicality na OOP , wakala 2-0
PSG watu wanaona ni timu tishio ila ubovu wao ni ukiwafanyia press wanakuwa ovyo kwenye kukaba ,
Na hiko kitu Mikel anakijua sana ,hata Villa Jana waliwafanyia hivo ,
Sasa kuwamaliza twende na midfield ya
Merino Rice Ø
Hapo Kuna physicality na OOP
😂😂😂😂 wanauguza maumivu huko.Hiyo ndio raha ya mpira...ndugu zetu wa Aseno naona hali si hali thread imekwama😃
MmhMimi naiona Arsenal na Barcelona fainali, je tutalipa kisasi cha 2006?
Katika maisha yangu ya soka mechi zilizowahi kuniuma, sikulala kabisa ni,
1. Arsenal Vs Barcelona UEFA Final 2006
2. France Vs Italy WC Final 2006
3. Yanga Vs USM Alger Caf CC Final 2023
Tumeshatafuna kubwa la maadui Madrid nothing can stop us.
Mi siogopi kesi wala nini asubuhi asubuhi tu nawafuata majumbani kwao.Huu uzi ufutwe kwa sababu arsenal wamekimbia
Uliwaonya hawakutaka kukuskia.Naangalia mazoezi ya psg hapa. Nawashauri msiingize timu uwanjani.
Akaamua kukimbia mechi sub yake akachukua Ben mweupe....😂Yaani huyo Timbulo mnaetupigia makelele humu kua ndio beki bora duniani jinsi Kvicha anavyomnyanyasa sidhani kama atamaliza dakika 90 bila ya kuchezea umeme.
Wenzao walikuwa wanapiga mazoezi kwelikweli wao wapo busy wanapanga mistari kama foleni ya kuingia kwenye mwendokasi 😂Naangalia mazoezi ya psg hapa. Nawashauri msiingize timu uwanjani.