Hujaza Kibaba
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 101
- 116
Leta timu yako ambayo ni strongMmeitoa madrid dhaifu pumbavu zenu.
Hizo ndio stori zenu kila sikuNipo naangalia magoli ya Psg toka msimu kuanza. Nawashauri msiingize timu uwanjani
makaveli10 uko wapi sheikh wangu??
Nyie KENGE mmelala, bado tuko na nyieView attachment 3307775
Ila yule refa mechi yetu na Real very fantastic kanyooka, njoo sasa huku EPL maamae.Wote tunajua bila PGMOL, EPL ingekua ya kwetu kitambo
Ila ngoja tukabebe CL pia tuna shida nacho hiki kikombe View attachment 3307243
PSG walikuwa wanatamani sana remontada ifanikiwe ili wakutane na Madrid ila bahati haijawa kwao. Sasa kule Paris, Manchester, West London na Merseyside kumejaa majonzi, vilio na kusaga meno.Nipo naangalia magoli ya Psg toka msimu kuanza. Nawashauri msiingize timu uwanjani
Wewe umejipata okaySiku hizi naangalia mechi za timu zingine nikipata access. Jana nilipata access nikacheki games za Nyumbu na Lyon na Lazio na Bodo.
Ingawa jana ilikua siku ya mechi ila uzi wa nyumbu ulikua mtupu. Tangu saa nane mchana, no one dared to say anything. Nilifika uzi wao did a banter or two then left.
Walipokua 2 nil up few of them wakajitokeza mafichoni na kujaribu kuandika kitu. Ilivyokua suluhu wakakimbia tena.
If you look at them closer unagundua sisi pia tuliwahi kua hiyo stage. Tuliwahi kua na jukwaa ambalo hakuna mtu anatamani kuingia, and then Arteta came along saa hii hadi members wa timu zingine wanaingia wanaandika banter.
Kwa nyumbu walichofanya jana kimesababisha mtu kama ARV kuhisi kwamba yupo kiwango kimoja na Arsenal ya sasa. Kama wanaweza fanya zaidi ya pale hiyo ni juu yao ila Arsenal tumetoka kwenye matope si mchezo. Unaangalia mechi ya nyumbu na Lyon na unaona kwamba yeyote kati yao angecheza na timu yako anafungwa bila ubishi.
It's such a relief
Kwa dakika zile kwa Ramos au Pepe asingefika nae ndani ya Box.Hapo sasa mzee angefanya nn??
Pace kakuzidi na Ukimkata ni penalty na red card.
We ungefanyaje?
Mkuu huu ushabiki wa Simba na Yanga.Basi tufanye lile sio goli, tumelifuta.
Matokeo ya Jana ni moja moja
Yes.Wewe umejipata okay
Ila c tulishakutoa Fa na tukiwa pungufu?
Shida ni kwamba hata asingescore bado mnatoka na unakosa mechi 3Kwa dakika zile kwa Ramos au Pepe asingefika nae ndani ya Box.
Kenge kabisa.Yes.
I hope mtachukua hilo kombe
Kwa akili za wale jamaa wangefanya rafu kuepuka aibu ya kufungwa nyumbani.Shida ni kwamba hata asingescore bado mnatoka na unakosa mechi 3