Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2025-04-11-16-07-17-678_com.twitter.android-edit.jpg
 
Mkiambiwa nyie hazipo huwa mnakataa, mnawaza nusu wakati madrid tu kawatanguliza na baiskeli ya barafu halafu mbele kuna bonge moja la jua.
Itakuwa haujatusoma vizuri au hujatuelewa mkuu.

Sisi hatumuwazi Madrid hapa robo fainali wala PSG nusu fainali.

Tunachokiwaza sisi ni fainali tutacheza na Barcelona ama Inter, na ni yupi tunamtamani zaidi kati yao.
 
Kwa nini mkuu?
Ukiangalia mfano ile mechi ya juz ya dortmund,ni kwa sababu tu dortmund hawana watu wenye quality ya kutumia zile open space walizokuwa waanacha barcelona,Barcelona akicheza na arsenal hautamuona yamine akiwa free vile atafanywa kama vin jr alichofanywa,arsenal imeundwa kupambana zaidi na timu kubwa kuliko ata timu ndogo
 
Huyu jamaa alikaa Arsenal kwa miaka 14 akashika nafasi mbalimbali kabla ya kua CEO na mashabiki wengi wanamterm kama failure.

Ila hii ya kwenda Spurs ndiyo ya moto zaidi na inazidi kumuweka mbali na mashabiki.
Screenshot_2025-04-12-11-14-52-722_com.instagram.android-edit.jpg
 
Mnachekesha humu jamvini! Mnataka mshinde uefa na kiwior? Saka ? Martineli ? Bichwa kubwa akili kisoda merino ? Kabla ya kuwaza ni nani mtakutana nae finally,,, wazeni fuko la magoli pale berbabeu,, ! Goli 3 ni chache sana kwa utatu wa vini , klyan na rodrigo,,, ! !
 
Ambao jumla walipiga shoot on target moja tu dk 90
 
Ambao jumla walipiga shoot on target moja tu dk 90
Tusubiri tuwaone pale Barnabeu watakavyo kuwa. Maana pale Barnabeu ndiyo pa kupindulia kila aina ya meza. Labda watapata on target 4 zitakazo zaa magoli ya ushindi...
 
Mnachekesha humu jamvini! Mnataka mshinde uefa na kiwior? Saka ? Martineli ? Bichwa kubwa akili kisoda merino ? Kabla ya kuwaza ni nani mtakutana nae finally,,, wazeni fuko la magoli pale berbabeu,, ! Goli 3 ni chache sana kwa utatu wa vini , klyan na rodrigo,,, ! !
Mara ya mwisho Arsenal kufungwa goli tatu ni mwaka 2023.

Wamkodi na Lewandowski awasaidie.
 
Ni muda umepita nyavu zetu hazijaonekana mara 3.

Ni muda pia ulipita huku hatujawahi kufunga goli la free kick.

Magoli aliyofunga Rice dhidi ya Madrid ni magoli yake ya kwanza ya free kick. Haaland na Mbappe hawajawahi kufunga free kick.

Point yangu ni kwamba kila kitu kina mara ya kwanza. Pengine J5 ndiyo siku Arsenal nyavu zetu zitaonekana mara tatu na sisi tutapoteana 100%

Watu wanasahau defense ya Arsenal. Hichi ndicho kinatubeba ila watu hawaelewi na sioni wakielewa hivi karibuni.
 
Don't argue like a fool

Back
Top Bottom