Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku hizi utaona mtu anakuja na takwimu zake anafananisha hawa players na Lewandowski, Messi au Ronaldo.

Kisha unakutana na Saka na ile hesitation iliyompata kushoot unaona ni upuuzi tu
 
Kama Arsenal ina mid players na iko nafasi ya pili kwenye ligi huku ina majeruhi 10+ na iko njiani kwenda nusu fainali CL basi tusubiri siku Arsenal ipate world class players kama Nyumbu ili ichukue kabisa makombe. Ni bahati mbaya nyumbu wapo nafasi ya 15 msimu wa nne mfululizo.
1000589204.jpg

Hapa vipi
 
Martinelli ni average/squad player. LW inahitaji mtu bora zaidi this summer, tena aingie moja kwa moja kwenye kikosi.
 
Mnachekesha humu jamvini! Mnataka mshinde uefa na kiwior? Saka ? Martineli ? Bichwa kubwa akili kisoda merino ? Kabla ya kuwaza ni nani mtakutana nae finally,,, wazeni fuko la magoli pale berbabeu,, ! Goli 3 ni chache sana kwa utatu wa vini , klyan na rodrigo,,, ! !
Hawa hawana hata haja ya kukutana na hao ma-giant wa UEFA. Wangekutana na A. Villa ndio wangejua hawajui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom